Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Umekubar kuwa mke wa tano ??Nimehama huko!!! Niko kwa Mondray. Ndugu yenu alipunguza makeo
Alikimbia honeymoon kwa frem zero

Umekubar kuwa mke wa tano ??Nimehama huko!!! Niko kwa Mondray. Ndugu yenu alipunguza makeo

Daah! Mbona kanihakikishia kua si kweli na mnamsingizia?Umekubar kuwa mke wa tano ??
Alikimbia honeymoon kwa frem zero
![]()
![]()
![]()
![]()
Lee aisee ww balaaShemela wetu kwa mkuuu Quigley tumekumis
![]()
![]()
![]()
![]()
Ahsante mpenz, my sweetheart paprika usimsikilize lee na mwinzie.Nimehama huko!!! Niko kwa Mondray. Ndugu yenu alipunguza makeo
Lee ww ni zaidi ya gwajima aiseeeUmekubar kuwa mke wa tano ??
Alikimbia honeymoon kwa frem zero
![]()
![]()
![]()
![]()
Wanalingana![]()
![]()
![]()
Nimecheka tuWanalingana![]()
![]()
![]()
Hi Shululu tunakumis pia karibuHi makapuku, nawamis sana
Asante kutujaliTUJIULIZE KWA NINI KINAMAMA WANALIA?
Mtoto alimuuliza mamake kwa nini unalia?
Akajibu kwa sababu mimi ni mwanamke..
Akasema mtoto
mimi sijafahamu.
Mama akamkumbatia mtt wake na kumwambia:
si rahisi kunielewa.
kisha mtoto akamfuata babake na kumuuliza:
kwa nini mama analia bila sababu?
Baba akajibu:
Wanawake wengi wapenda kulia bila sababu...
Akakua mtoto ila bado hajajua sababu hasa ya mwanamke kulia.
Mwisho akamuuliza Kiongozi wa dini mwenye hekima:
Kwa nini wanawake wapenda kulia bila sababu?
Akajibu:
Mwenyezi Mungu alipomuumba mwanamke alimpa mabega yenye nguvu sana kwa ajili ya kubeba mazito ya walimwengu.
Na akamjaalia mikono miwili milaini na iliojaa upendo kwa ajili ya kuwapa watu raha. .
Na akampa nguvu ndani ya mwili wake ili
kuweza kubeba mimba hadi kuzaa.
Na vile vile kuvumilia pindi wanapokua na kumkataa.
Na vile vile kapewa hekima ya kubeba aibu za nyumba yake na familia yake na kuwalinda pamoja na kua na msimamo ktk kila jambo zito bila kutetereka.
Na akampa mapenzi juu ya watoto wake yasoisha na wala kubadilika,
hata wakimrudia na kumtukana na kumsababishia maumivu makali bado mapenzi yako pale pale.
Na mwisho
kampa (machozi)
yakatoka pindi anapopata maswahibu.
Na huo ndio udhaifu wake mmoja tu.
Kwa hiyo chunga na uheshimu machozi ya wanawake ktk huu ulimwengu hata ikiwa wanalia bila sababu! !
Kimekatwa kitovu chako pindi ulipotoka ktk hii dunia..
Na hicho kitovu kikaacha athari (alama)kwenye mwili wako ili ukumbuke daima;
kiumbe mkubwa ambae amekulisha kutoka kwenye mwili wake..
Ewe Mungu wangu nakuomba kwa kadri ya mapigo ya moyo wangu umjaalie MAMA YANGU awe mwanamke bora ktk wanawake na umsamehe makosa yake. Na uwajaalie kina mama wote wawe wanawake bora na uwasamehe wote...
Na uwajaalie uzima na afya tele
Mama jiko pindi unapokua na njaa.
Hospitali ukiwa mgonjwa
Pindi unapofurahi.
Alarm unapolala.
Mama ni dua pindi unapokua mbali.
Je umemfanyia wema gani mama.
Jizoeshe kumwita mama pindi unapoingia nyumbani
hata km hutaki kitu.
Kwa sababu yeye ndio kila kitu
SHARE UJUMBE HUU KWA WATU WENGI KADRI UNAVYOMPENDA MAMA YAKO...
Asante mkuu Bitoz kwa kutukumbuka ubarikiwe .![]()
![]()
![]()
![]()
Heri ya siku ya wanawake
Wanawake wote popote pale walipo
........
Lee aisee ww balaa
Ahsante mpenz, my sweetheart paprika usimsikilize lee na mwinzie.
Wapumzike kwa Amani ,tukumbuke sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi ,hatujui siku wala saa kila wakati tuwe tayari .Inasemekana mzee mkubwa Kagame alihusika.
Kwakuwa walikuwa wametokea Dar,
Luteni Jenerali Imran Kombe aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa hapa Tz, aliwashauri wasipande ndege moja kwa kuwa alishapata fununu kuhusu njama za mauaji hayo.
Lakini wakampuuza hatimaye wakapoteza maisha.
Hata mauaji tata ya Imran Kombe wengi wanasema Kagame anaweza akawa anahusika kwa kuwa Kombe alijua mambo mengi sana machafu ya Kagame katika ushiriki wake wa mauaji ya Marais hao wawili.
Wewe wa tano

Inaumiza sana![]()
![]()
![]()
![]()
Majanga
...
Amen Asante Mussolin 5 UbarikiweLEO KATIKA HISTORIA:
Kwa udhamini mnono wa akina Mama, niwatakie siku njema.
Amen.Wapumzike kwa Amani ,tukumbuke sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi ,hatujui siku wala saa kila wakati tuwe tayari .
Asante sana kwa toleo hili muhimu- Siku ya Kimataifa ya Wanawake.
Ni siku inayoadhimishwa Dunia nzima, kupinga ukatili na unyanyasaji wa Wanawake.
Ilianzia Urusi baada ya Wanawake wa Urusi kuchoshwa na unyanyasaji dhidi yao huko Viwandani , hali iliyopelekea kuanza migomo na maandamano ili kutetea haki zao.
Harakati hizo zilipelekea kutokea kwa Mapinduzi ya Urusi ya mwaka 1917.
umekua kama lee mushengaAf wewe, acha kuzingua, mchizi mpaka anaweweseka Usiku dizaini .....7bu yako ujue!!!