Makapuku Forum

Makapuku Forum

2f0b99bb91323958398e973b1840e569.jpg

Ukiona kitu tofauti gonga like.
Nimeona tofauti
 
1971 - Pambano baina ya Joe Frazier dhidi ya Muhamad Ali lafanyika huko Madison Square.

Pambano hilo lililopachikwa jina la " Fight of the Century " liliwakutanisha mabondia ambao hapo awali hawakuwa wamepoteza mapambano yoyote.

Mohamed Ali alipoteza pambano hilo baada ya raundi 15 za kukata na shoka.

Inasemekana hakuna pambano la ngumi lilikuwa kali na la kuvutia zaidi ya hili.

Hata waliporudiana katika pambano lililojulikana kama " Thrilla in Manilla " ambapo Ali alishinda bado pambano hili halikufua dafu kwa lile la kwanza.
Nimebahatika kuliona la Thrilla in Manilla pekee
 
```
JE UNAJUA????
Siku ya mwanamke duniani originally ilipangwa isherekewe tar 25 February .....
Ila kutokana na kujianda kwingi, kujipodoa na kujiangalia saana wakajikuta wanachelewa hadi wakasherekea tar 8 March......

JE WAJUA?

Hata siku ya mwanaume duniani ilipangwa......
Ila kama kawaida yetu wazee wa kupotezea vitu vya kijinga tumeshasahau ni tar Ngapi.....

hapo kwenye kujipodoa ni kweli
 
Siku zote zilizobaki ni za wanaume!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom