Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahaaa! Kwani uongo?acha hizo story mondray
Lazima ugandamizwe...! Pumzi yenyewe ni ya shidaaaa balaaa...
Afu vifunza, panya na minyoo wale wa kwenye udongo ndo waanza kukula sasa...
Nasikia huwa wanaingilia masikioni...kwenye kitovu n.k..




