Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Hahaaa sitaki nimkose paprika wangu mieOna watu level ya Bashite, humbadiliki mnawaza uchawi tuuu
Hahaaa sitaki nimkose paprika wangu mieOna watu level ya Bashite, humbadiliki mnawaza uchawi tuuu
Kivipi mkuu?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe msani mzuri sana
Mkuu umetumiaa neno lenye ukakasi kidogo![]()
![]()
![]()
![]()
Au wewe tayar
Kwani yeye wajina John ??? Kuwa siliasiUsiwasikilize hao. Quigley, lee, werrason, mussolin wana watu wao utarogwa bure. Baki na mimi
Mume wa mtu sumu achana nao. Unamjua shunie, clkey watakudundaNaogopa kurogwa kwa kweli.
Nimefurahia unavyojibu tuKivipi mkuu?
Huyu hana sera anasingizia wengineNaogopa kurogwa kwa kweli.
Hapana, nimemwagiza dereva wangu amfuateShuka panda mwendo kasi bibiee
John heavy weight yuleKwani yeye wajina John ??? Kuwa siliasi
Clkey na shunie ni dada zangu kabsaaMume wa mtu sumu achana nao. Unamjua shunie, clkey watakudunda
Apooo unaua kama peleHapana, nimemwagiza dereva wangu amfuate
Kumbeee!!!Huyu hana sera anasingizia wengine
Hahahahaaa kwani weye ni moderator?Nitumie namba na picha zako pm nikubadilidhie chap
Ohooo, kumbe hujuiHahahahaaa kwani weye ni moderator?
Kwaiyo mkuu mm nijiteteejee ??Clkey na shunie ni dada zangu kabsaa
Kweli kabisaKumbeee!!!
Ni zaidi ya moderatorHahahahaaa kwani weye ni moderator?