Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Mkuu karibu huku darasa huru, pia familiaWeekend
Mkuu karibu huku darasa huru, pia familiaWeekend
Tayari ishafika ......Weekend
JE WAJUA??
BLUCE LEE alikua faster sana kwahiyo wakawa wanampeleka slow motion ili mapigo yake yaweze kuonekana vizuri
JE WAJUA??
Takribani watu 7, 000 wanafariki kila mwaka kutokana na mwandiko mbaya wa madaktari
Go buy that.. Whaaaaaat are you kidding me.
hahahhh huyo atakua anatoka mitaa ya koromije si ndio wanapenda vitu vyeupe tehMWANDISHI:Habari yako mzee, kwani Ng'ombe wako huwa unawalisha nini?
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia,? Mweupe au mweusi?
MWANDISHI:Mweupe.
MZEE:Huyo namlisha majani.
MWANDISHI:Na mweusi!!!?
MZEE:Namlisha majani pia.
MWANDISHI:Umeanza kufuga lini hawa Ng'ombe wako?
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia? Mweupe au mweusi?
MWANDISHI: Mweupe.
MZEE:Huyo nimeanza mwaka jana.
MWANDISHI:Na Mweusi!!!?
MZEE:Mwakajana pia.
MWANDISHI:Hivi Ng'ombe wako huwa wanalala wapi?
MZEE:Ng'ombe yupi mweupe au mweusi?
MWANDISHI:Mweupe.![]()
MZEE:Analala hapo kwenye boma.
MWANDISHI:Na mweusi analala wapi!!?
MZEE:Analala kwenye boma pia.
MWANDISHI:Kwanini nikikuuliza kuhusu Ng'ombe wako naww unaniuliza mweupe au mweusi alafu unatoa majibu sawa????
MZEE:Kwasababu Ng'ombe mweupe ndo wakwangu.
MWANDISHI:Enhe! Na huyo mweusi ni wanani??
MZEE:Ni wangu pia.
![]()
akikujib ndio nichukue twende wote kwenye hilo chimboBlaza chimbo wapi unakula mwenyewe?.....unafanya biyashala ya almasi nini?

JE WAJUA???
Kiuharisia picha ya Rose kwenye filamu ya Titanic haikuchorwa na Jack ilichorwa na Mel Gibson director wa filamu hiyo.
mm ndio kabisa afadhari ya wwNamsubiria kipanga wangu shunie mmi zimenishinda
Na wewe baby upo kwenye list ya watu wanaomkosesha u singzi bwaanaa yuleehahahhh huyo atakua anatoka mitaa ya koromije si ndio wanapenda vitu vyeupe teh