Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,632
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nitetee mamy wangu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nitetee mamy wangu
Upako[emoji22]
Mwaka gani hii?1. PL Player of the year - NGOLO KANTE
2. Manager of the year - Antonio Conte
3. Young playér of the year - Dele Alli
4. Goalkeeper of the year - Hugo Lloris
5. EFL player of the year - Tom Cairney
6. Outstanding Contribution to London Football Frank Lampard.
Hizi ni tuzo za mwaka jijini London.... Hivi ile timu yetu si ipo London au nauliza tu ? Maana hata tuzo za ng'olo kante zilikuwepo London.
Cc: shululu![]()
Mwaka huuMwaka gani hii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeye mwenyewe hafanani na yeye[emoji56] [emoji23]JE WAJUA
Kwenye shindano la kutafuta watu wanao fanana na CHARLIE CHAPLIN na yeye mwenyewe alishiriki lakini alitoka mshindi wa tatu
[emoji56]JE WAJUA??
Hippopotomonstrosesquippedaliophobia
Ni uoga wa maneno/neno refu au marefu
Hahaaa yaani mm mwenyewe nashangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeye mwenyewe hafanani na yeye[emoji56] [emoji23]
Hela unahesabu mpaka ngapi?Hahaa aisee ninaweza kuhesabu hela tu ila namba siwez
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Upako
JE WAJUA??
Bajeti ya kila Episode moja kwenye series ya WALKING DEAD ni Dollar Million 2. 8
Sijui wanapata faida shilingi ngapi?
Zimetolewaa Jana mkuuMwaka gani hii?
Ni nzuri hiyo series?.....usijekuta kuna u-fleemason[emoji125]JE WAJUA??
Bajeti ya kila Episode moja kwenye series ya WALKING DEAD ni Dollar Million 2. 8
Sijui wanapata faida shilingi ngapi?
Hela ishu nyingine hata kontena mimi nahesabuHela unahesabu mpaka ngapi?
Nzuri kiasi chake micheki mkuuNi nzuri hiyo series?.....usijekuta kuna u-fleemason[emoji125]
Kweli mama mchungaji bado ana kazi kubwaNi nzuri hiyo series?.....usijekuta kuna u-fleemason[emoji125]
[emoji23] Veeve !!![emoji117]Hela ishu nyingine hata kontena mimi nahesabu
JE WAJUA??
Leonardo da Vince alitumia miaka 12 kuchora lips za monarisa