shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Bakari, alipofika ufaransa akabadili jina1983 - Bacary Sagna anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye kwasasa anakipiga klabu ya Man City.
Ni raia wa Ufaransa.
Bakari, alipofika ufaransa akabadili jina1983 - Bacary Sagna anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye kwasasa anakipiga klabu ya Man City.
Ni raia wa Ufaransa.
Mzeé wà maboko1985 - Philipe Senderos anazaliwa.
Mchezaji wa Timu yaTaifa ya Uswizi ambaye aliwahi kukipiga katika klabu ya Arsenal.
Jamaa anajua sana kutoà pasi za mwişhö1992 - Christian Eriksen anazaliwa.
Kiungo wa kati wa Denmark na klabu ya Tottenham ya Uingereza.
Mmoja kati ya Viungo makini kabisa EPL.
Kifaa hícho
Madenge bwana. Inawezekana kweli sijaelewa. Nadhani pia hujaelewa mantiki ya comment yangu. Tukiacha ushabiki wa hizi siasa uchwara na ushabiki usio na tija ndiyo tutaweza kufanya jambo la maana.Hivi unaamini lengo lao ni kumuhoji tu?
Naheshimu maoni yako ila hujaelewa .....hakuna anayefurahi wageni kuajiriwa tunawaona wamejazana kule Kariakoo tunaongea kisheria Manji hahusiki ile ni Group Of Companies na km unajua Sheria za Uhamiaji zinasemaje kuhusu "mwajiri" kuajiri wageni na afhabu yake ni nini hapo sitakupinga
Nchi inaongozwa na Sheria km vipi basi wakavunje majengo tote ya mahakama maana Sheria zinaonekana hazina maana
.........
Moja kati ya mabeki vilaza niliowahi kuwashuhudia.Mzeé wà maboko
Una allergy na Wasukuma na nilijua tu utawataja! Nitakuombea!Wasukuma bwana
![]()
![]()
![]()
..........
Wanapiga hela mbayaNi shída you tube
Asante diktetaLeo Katika Historia:
Kwa leo niishie hapa, tukutane tena kesho. Jioni njema wakuu.
Pamoja mkuuAsante dikteta
Msimü ujao mtamchukua?![]()
![]()
![]()
Leo atupigie Barca
Aache uzembe wa kukosa bao za wazi
.......
HaaaaahaaaaaàWe subiri aje. Yaani sipati picha. Just wait....
miss u too hunBaby ,my loooooveeeee japo tulikuwa wote mda si mrefu nimekumis![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shululu najua una neno

shemelaMmmmhhhhh

Kashakuwa MzeeMsimü ujao mtamchukua?
safi shemela mzimaZa joini shemela
Pacha wako ni ninimcute
Wakuu baada ya kupotea Siku nzima nikisaka mapene ili mrembo wangu na shemela +wifi yenu tupate mtoko natangaza rasmi tunajiandaa kula kuku kwa mrija



Sura yako imeonekanaUtasubiri sana![]()
Aisee ndio basi tenaKama Ben Saa Tisa