Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1949 - Bunge la Israel maarufu kama " The Knesset " laanza rasmi vikao vyake kwa mara ya kwanza.
1949 - Bunge la Israel maarufu kama " The Knesset " laanza rasmi vikao vyake kwa mara ya kwanza.
2005 - Mtandao wa Youtube waanzishwa rasmi huko California Marekani.
Mtandao huo ulibuniwa na Wanafunzi watatu wa chuo.
Ni moja kati ya mitandao mikubwa Duniani inayoongoza kwa kutembelewa na watumiaji wengi.
1913 - Jimmy Hoffa anazaliwa.
Alikuwa ni Kiongozi wa zamani wa vyama vya Wafanyakazi huko Marekani.
Baada ya kuongoza Mgomo wa kudai Maslai ya Wafanyakazi huko Marekani, alipotea katika mazingira ya kutatanisha mwaka 1975.
Baada ya msako wa miaka kadhaa wa kumtafuta bila mafanikio akatangazwa amefariki Dunia mwaka 1983.
Mpaka leo haijulikani Hoffa alipotelea wapi, je ni nani alihusika na kifo chake pia imebaki kitendawili.
Poa mshkaji wangu happy valentine dear
Hahahahahahhahahahahhahahaha ukiambiwa hivo unajibuje natia aibu sasaPoa mshkaji wangu happy valentine dear
1951 - Kevin Keegan anazaliwa.
Mchezaji na Kocha wa zamani wa Uingereza, ambaye amezifundisha klabu za Man City, Newcastle mara mbili.
Alikaribia kuchukua ubingwa wa EPL mwaka 1997 akiwa na Newcastle United kabla ya kuzidiwa dakika za Mwisho na Man Utd.
1983 - Bacary Sagna anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye kwasasa anakipiga klabu ya Man City.
Ni raia wa Ufaransa.
Hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe
1985 - Karima Adebibe anazaliwa.
Ni muigizaji na Mwanamitindo wa Kiingereza.