Makapuku Forum

Makapuku Forum

e7e993aee80575a522a64259396e4278.jpg
d54eb7ed43f8288c88867f2beb5a8e9e.jpg
0647e1f39ddefe3adec1adee01283163.jpg


Vipi, huyu kacheza zile video zetu pendwa? Bitoz , Mussolin5
 
Habari wakuu
Na lao vituko vinaendelea

*Mmiliki wa kampuni kamwe siyo mwajiri
Mfano Wamilimi/shareholder wa kampuni ya Vodacom hawahusiki na masuala ya ajira
Pia mbele ya Sheria kosa linalofanywa kwenye utendaji wa kikampuni ni kampuni ndo inashtakiwa na huwakilishwa na wanasheria wa kampuni

*Pia yule kanjibai alishajiuzulu umiliki wa ile kampuni toka mwaka jana na notice ziliwekwa kwenye magazeti
NB
Kisheria Manji hahusiki na lolote ni sasa na kuchafuana tu na hata wakimkamata watashindwa kesi na watalipa fidia
Hiki kihunzi keshakiruka labda watafute kingine
Labda km ubabe na sasa vitafanya kazi hadi mahakamani

Nimeona wabongo wanachangia mambo kimihemko tu wakati uelewa wao wa masuala ya kisheria ni finyu kila kitu sana kiherehere
...............
Ahsante kwa taarifa, mambo kama haya yamenipitia kushoto.....all in all wafanyabiashara ni wajanja sana.....amewaachia selekale manyoya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom