Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Bora GriezmanMsimü ujao mtamchukua?
Huyo mzembe sana nafasi 10 anafunga goli mbili
.......
Bora GriezmanMsimü ujao mtamchukua?
Msimu uliopita alibebwa na Ngoro, sasa huu msimu ni majangaAtleast hata Huth kuna muda ni mzuri hasa mipira ya juu.
Msukuma v Mnyaki
Hatuwezi kuelewana
Tutakesha bure
Basi yaishe
............







Msimu huu yeye na Captain Wes Morgan wamekuwa nyanya kweli. Kweli Kirikuu aliwabeba mno.Msimu uliopita alibebwa na Ngoro, sasa huu msimu ni majanga
Msimu uliopita alibebwa na Ngoro, sasa huu msimu ni majanga
Baby njoo tushibe kwanza achana naoHahahah lee ukuje shululu anataka kuja
Achaaaanaaaaa naooooHahahah na nyie mnataka kuja kwenye bata
Shunie sio mchoyo kabisaBaby njoo tushibe kwanza achana nao
Mkuuu umejuaje kama sio mchoyoShunie sio mchoyo kabisa
hahahhhBaby njoo tushibe kwanza achana nao
ungeuliza kwanza sio mchoyo wa nnMkuuu umejuaje kama sio mchoyo
Shunie sio mchoyo kabisa
Maneno yanaishi mpaka leo
Sio mchoyo wa maakuliungeuliza kwanza sio mchoyo wa nn
Namjua huyu kasikia kulaungeuliza kwanza sio mchoyo wa nn
Mchoyo wa?Shunie sio mchoyo kabisa

Maneno yanaishi mpaka leo
kweli shemelaSio mchoyo wa maakuli