Makapuku Forum

Makapuku Forum

1913 - Jimmy Hoffa anazaliwa.

Alikuwa ni Kiongozi wa zamani wa vyama vya Wafanyakazi huko Marekani.

Baada ya kuongoza Mgomo wa kudai Maslai ya Wafanyakazi huko Marekani, alipotea katika mazingira ya kutatanisha mwaka 1975.

Baada ya msako wa miaka kadhaa wa kumtafuta bila mafanikio akatangazwa amefariki Dunia mwaka 1983.

Mpaka leo haijulikani Hoffa alipotelea wapi, je ni nani alihusika na kifo chake pia imebaki kitendawili.
Mabwanyenye walimpoteza!!!
 
e7e993aee80575a522a64259396e4278.jpg
d54eb7ed43f8288c88867f2beb5a8e9e.jpg
0647e1f39ddefe3adec1adee01283163.jpg
mcute
 
1989 - James Bond anafariki Dunia.

Alikuwa ni mtaalam wa viumbe hai hasa ndege. Alikuwa ni raia wa Marekani.

Jina lake lilichukuliwa na kuanza kutumika katika mfululizo wa Filamu za Kijasusi zijulikanazo kama James Bond.

Mtunzi wa filamu za James Bond, ndugu Ian Fleming alipenda sana kufatilia kazi za James Bond hasa kwa kutazama Vipindi vyake na kusoma vitabu vyake hasa vinavyohusu Ndege, hali hiyo ilipelekea akalipenda sana Jina la James Bond na kuliomba alitumie katika Filamu zake alizozitunga akianza na ile Casino Royale ya mwaka 1953.

Hivyo mwenye jina la James Bond alikuwa ni mtaalam wa ndege ambapo jina lake likaenda kutumika katika filamu za kijasusi.
kumbe!!!
 
Mussolin5 kwa kuongezea tu;

1867 mvumbuzi wa Kijapan sakichi Toyoda alizaliwa. Akiwa mbobezi kwenye uvumbuzi na umiliki wa viwanda vya kufuma nguo, ndiye mwanzilishi wa Toyoda Automatic Loom Works. Baadaye mwanaye alijikita kwenye masuala ya utengenezaji wa magari, na ndipo jina Toyota (lilionekana kutamkika kiurahisi zaidi kuliko Toyoda) lilipojitokeza na kupata mafanikio zaidi.

56a1d8417da8ef747ed8437f7849fad0.jpg
Kudos, safi mkuu.
 
Ahsante kwa taarifa, mambo kama haya yamenipitia kushoto.....all in all wafanyabiashara ni wajanja sana.....amewaachia selekale manyoya
Haihitaji ht uwe na Masters ya Law
Tumia common sense tu kampuni huwa na
* mmiliki
*mkurugenzi mtendaji
*afisa ajira/mkurugenzi utumisha
N.k

Wao wamekomaa kumtajataja Manji tu {jina linahusika vipi?)
Polifix
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom