Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Kwa machowe unaonaje

Kwa machowe unaonaje

Atakuja kujibu leePacha wako ni nini

Madenge anazungumzia kesi, hajazungumzia ajiraWabongo nasi tumezidi. Hata huwezi kuelewa tuachotaka hasa ni nini. Tunalia ajira hakuna kumbe makampuni mengine wameajiri illegals. Watu wenye ties na hayo makampuni wakiitwa kuhojiwa napo makelele. Hakukosea aliyesema kuwa siye tu namba wani kwa unafiki duniani!
HahahahhKwa macho![]()
lee na shunie

Shimba ya buyenze sijui yupo na nani hapo
Na sisi makapuku jeWakuu baada ya kupotea Siku nzima nikisaka mapene ili mrembo wangu na shemela +wifi yenu tupate mtoko natangaza rasmi tunajiandaa kula kuku kwa mrija
Wakuu baada ya kupotea Siku nzima nikisaka mapene ili mrembo wangu na shemela +wifi yenu tupate mtoko natangaza rasmi tunajiandaa kula kuku kwa mrija

Msukuma v MnyakiMadenge bwana. Inawezekana kweli sijaelewa. Nadhani pia hujaelewa mantiki ya comment yangu. Tukiacha ushabiki wa hizi siasa uchwara na ushabiki usio na tija ndiyo tutaweza kufanya jambo la maana.
Hata hao wanaomuita nadhani wanajua kuwa Manji alishajiengua na hayo makampuni. Ni mbinu ya kawaida kisheria kwa corrupt businessmen; na kujiengua huko kunaweza kuwa kwenye makaratasi tu na nyuma ya pazia bado wakawa wanashikilia madaraka bado. Kwa nini tunaona shida yeye kuitwa na kwenda kusikiliza wanachomuitia? Inakuwa kama vile tayari ameshahukumiwa. Vipi kama wanataka habari tu ambazo wanaamini anazo? Kwa nini sisi "wenye ufahamu" na "wasomi" tunatumia nguvu nyingi kiasi hiki kumtetea? Kwa vile ni bilionea anayeweza kwenda polisi na mawakili wanane wakiwemo wazungu? Ni kwa vile ni kiongozi wa kilabu ya soka? Ni kwa vile ana asili ya nje? Yeye kuitwa polisi na mamlaka hizi ndiyo sheria zimevunjwa? Au kuna vitu vingine ambavyo mnavijua ambavyo wengine hatuvijui? Ningeitwa kapuku kama mimi ni kweli ungekuwa hapa ukipiga makelele namna hii na kulaumu mfumo mzima? Come on man!
Na Huth wa Leicester cityMoja kati ya mabeki vilaza niliowahi kuwashuhudia.
Pia kuna Mikael Sylvestre.
Sura yako imeonekana

Ai lav yu shunieHahahahh

Niambie shemelashemela![]()
Cc LeeAtakuja kujibu lee![]()
Hahahah na nyie mnataka kuja kwenye bataNa sisi makapuku je
love u le mukongoAi lav yu shunie![]()
ngoja aje akujibu shemelaNiambie shemela
Bila shakaHahahah na nyie mnataka kuja kwenye bata
Atleast hata Huth kuna muda ni mzuri hasa mipira ya juu.Na Huth wa Leicester city
Hahahah lee ukuje shululu anataka kujaBila shaka