Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahhahah halaf una utani mbaya hivi kwa nn wasukuma mpo hiviMagari ya kisasa ni computerized mkuu. Ni kiasi cha ku-hack software tu kazi kwisha. Au we gari lako ni kuukuu sana?![]()
Hahhahah halaf una utani mbaya hivi kwa nn wasukuma mpo hiviMagari ya kisasa ni computerized mkuu. Ni kiasi cha ku-hack software tu kazi kwisha. Au we gari lako ni kuukuu sana?![]()
na kwako pia bitoz![]()
![]()
![]()
Nimeamua kuwawish mapema
Kesho ni Siku ya Wapendanao japo siku hizi imepotoshwa
Tukutane kesho waungwana
...............
Aiseeeh kwetu umegonga rock wanasemaga hii kitambo sana enzi hizo za kukariri nyimbo za westlifeMagari ya kisasa ni computerized mkuu. Ni kiasi cha ku-hack software tu kazi kwisha. Au we gari lako ni kuukuu sana?![]()
Kweli kabisaMadenge. Mambo mengine ni kuyapotezea tu. Huyu dogo naye atakuja na kwenda. Walikuwepo akina Lyatonga Mrema na hii impromptu justice wakivuma sana mpaka kuundiwa cheo kisichokuwepo cha naibu Waziri Mkuu. Walifika wapi? Kuna kitu kinachotaka kufanywa na kikikamilika basi utaona mambo yanapoa menyewe. Matamko mangapi alishatoa lakini hakuna hata moja lililofanikiwa?
Suala hili la sasa ni tete sana na dunia nzima linawakunisha vichwa na kamwe halitamalizwa kwa kiki za kisiasa, ajenda za siri na michezo angamizi isiyofuata utaratibu wala mihimili ya kisheria . Mimi namuunga mkono sana na kijamii naona amefanikiwa kuwasha moto japo ni wa mabua. Ngoja pepo zivume sasa na dhoruba za wahusika zimshukie ndo utaona. Jipe muda na kamwe kabisa kabisa usimwamini mwanasiasa hata kama ni dingi wako!
Mimi na Shunie tunashukuru na tunawatakia valentine njema![]()
![]()
![]()
Nimeamua kuwawish mapema
Kesho ni Siku ya Wapendanao japo siku hizi imepotoshwa
Tukutane kesho waungwana
...............
![]()
![]()
![]()
Nimeamua kuwawish mapema
Kesho ni Siku ya Wapendanao japo siku hizi imepotoshwa
Tukutane kesho waungwana
...............

Af wewe
mimi ndioAf wewe

Nakuelewa sana unachomaanisha!!!Ndo tabu ya kuongozwa na MASKINI
*Mikopo kwa waliosoma private kabana
*Ajira kabana
*Matumizi kabana
Anaonyesha chuki za waziwazi kwa matajiri na watu wa kipato cha kati kwavile yeye kapitia maisha ya kuchunga ng'ombe
...
Huyo aseno, umeedit epl ukaweka vpl![]()
Simba mpo?
........

Malkia wa Sheba. Pole kama umekwazika. Usiwalaumu Wasukuma wote kwa mapungufu yangu. Napenda sana utani na kucheka. Samahani kama nimevuka mpaka. Happy Valentine Day !!!Hahhahah halaf una utani mbaya hivi kwa nn wasukuma mpo hivi



Yaaah itakuwa yeeh.....unaambiwa maua mwachie Johnson unafikiri.....Yaaaaah asante kwa kulitambua hilo

BwahahahahaaaaHuwezi baby hii automatic

acha kupanic bwana wote waelewa hapaMalkia wa Sheba. Pole kama umekwazika. Usiwalaumu Wasukuma wote kwa mapungufu yangu. Napenda sana utani na kucheka. Samahani kama nimevuka mpaka. Happy Valentine Day !!!
Mkuu Lee Empire. Asante sana kwa welewa wako. I will stop now na huu utani; and thanks for the laughs. Love you guys![]()
HahahahahahYaaah itakuwa yeeh.....unaambiwa maua mwachie Johnson unafikiri.....![]()
![]()
Mkuu mwenyewe mzee, mshenga at tme huwa unapoint kuliko nondo za bold ila tujifanye hii weak pointYaaah itakuwa yeeh.....unaambiwa maua mwachie Johnson unafikiri.....![]()
![]()

Noooo plz mbona kama mkuu hujazoea utani wetu humu ,usiwaze vibaya jokes kama kawaidaMalkia wa Sheba. Pole kama umekwazika. Usiwalaumu Wasukuma wote kwa mapungufu yangu. Napenda sana utani na kucheka. Samahani kama nimevuka mpaka. Happy Valentine Day !!!
Mkuu Lee Empire. Asante sana kwa welewa wako. I will stop now na huu utani; and thanks for the laughs. Love you guys![]()
Usiofu Japo naona kaichukulia ndivyo ..but kawaida namuaminiacha kupanic bwana wote waelewa hapa