Jamani nimekerwa sana na hizi nyodo na mikwara ya kondakta
Duh kajamaa kameanza dharau eti ooh nina mamlaka ya kumfukuza mtu Dar....yaani jamaa kavimba kichwa angeonesha badi kifungu cha Sheria kinachompa hayo mamlaka
Mara ooh kukutwa umetumia dawa za kulevya ni jela miaka mi3 ....hapa pia hajataja kifungu (najua Sheria inatoa adhabu ya Fine au kifungo au vyote kwa pamoja) lakini hakuna mambo ya kupimana maana watu huweza hata kuwekeana kwa makusudi
Haka kajamaa huwa kanaropoka tu utafikiri nchi nzima ni mambumbumbu
A dunderhead
...........