Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Akaishia kufanya UbishooMemphis Papai
![]()
![]()
![]()
.......
Akaishia kufanya UbishooMemphis Papai
![]()
![]()
![]()
.......
Haaahaaaa ngojaShemela wake shunie ,kumbe na wewe umeshtukia mchezo??

Baseless generalizations! Ng'ombe tumechunga. Mamvi mpaka leo anachunga. Wakati mwingine ni falsafa tu ya mtu na watu wa aina yake waliopata bahati ya kusoma falsafa za akina Marx na kusomeshwa na kukulia enzi za Nyerere hakuna cha kushangaza.Ndo tabu ya kuongozwa na MASKINI
*Mikopo kwa waliosoma private kabana
*Ajira kabana
*Matumizi kabana
Anaonyesha chuki za waziwazi kwa matajiri na watu wa kipato cha kati kwavile yeye kapitia maisha ya kuchunga ng'ombe
...
Hahahhahha tushampeleka lyon hukoMemphis Papai
![]()
![]()
![]()
.......
Umechambua vizuri, lakini mtu ambaye haheshimu raia na sheria ni janga kwa taifa, yeye kila mtu kwake ni kumuwazia mabayaBaseless generalizations! Ng'ombe tumechunga. Mamvi mpaka leo anachunga. Wakati mwingine ni falsafa tu ya mtu na watu wa aina yake waliopata bahati ya kusoma falsafa za akina Marx na kusomeshwa na kukulia enzi za Nyerere hakuna cha kushangaza.
Inabidi pia tukiri kuwa alipewa nchi ambayo ilikuwa haina mwelekeo na ufisadi ulikuwa umezidi mno - tena wa waziwazi kabisa. Sinema ya Escrow inayoendelea kuitafuna TANESCO mpaka leo itakuja kuvishangaza hata vizazi vijavyo. Amefanikiwa kubadilisha mwelekeo wetu na nidhamu imerudi. Hii haikuwa rahisi lakini imewezekana. Ingependeza sana kuanza kuona mwelekeo wa nchi mpya na vigezo vipya vikiwekwa wazi. Tatizo sasa hata huwezi kujua kinachoendelea na hata vipaumbele vyetu havijulikani. Pengine anajaribu kufanya mambo mengi sana kwa wakati mmoja badala ya kuchagua jambo moja au mawili muhimu na kupambana nayo kufa na kupona (mf. elimu, kilimo nau viwanda). Hapa ndipo penye tatizo kubwa, kwa maoni yangu. Hatujui kinachoendelea na watu subira inakaribia kuwaishia. Inaonekana kama vile tumegota mahali!
Uchambuzi nzuriBaseless generalizations! Ng'ombe tumechunga. Mamvi mpaka leo anachunga. Wakati mwingine ni falsafa tu ya mtu na watu wa aina yake waliopata bahati ya kusoma falsafa za akina Marx na kusomeshwa na kukulia enzi za Nyerere hakuna cha kushangaza.
Inabidi pia tukiri kuwa alipewa nchi ambayo ilikuwa haina mwelekeo na ufisadi ulikuwa umezidi mno - tena wa waziwazi kabisa. Sinema ya Escrow inayoendelea kuitafuna TANESCO mpaka leo itakuja kuvishangaza hata vizazi vijavyo. Amefanikiwa kubadilisha mwelekeo wetu na nidhamu imerudi. Hii haikuwa rahisi lakini imewezekana. Ingependeza sana kuanza kuona mwelekeo wa nchi mpya na vigezo vipya vikiwekwa wazi. Tatizo sasa hata huwezi kujua kinachoendelea na hata vipaumbele vyetu havijulikani. Pengine anajaribu kufanya mambo mengi sana kwa wakati mmoja badala ya kuchagua jambo moja au mawili muhimu na kupambana nayo kufa na kupona (mf. elimu, kilimo nau viwanda). Hapa ndipo penye tatizo kubwa, kwa maoni yangu. Hatujui kinachoendelea na watu subira inakaribia kuwaishia. Inaonekana kama vile tumegota mahali!
Inaweza ikapanguliwa manually. Abort mission, abort...Shauri yako !!!Huwezi baby hii automatic
Hiyo mpaka kuchange gear box mkuu ...??Inaweza ikapanguliwa manually. Abort mission, abort...Shauri yako !!!
hahahhah Bitoz kachafukwaHana uwezo wa kunifukuza
Atishe wasiojua Sheria tu
Mimi najua hadi Sheria za kimila hanibabaishi huyo kiazi
.......
Ulichotufanyia mungu anakuona
Msukuma ni simba ya buyenzeNinabashiri tu
HahahahhHuwezi baby hii automatic
Unajua. Wanahistoria wanaweza kukupa mifano mingi ya viongozi waliopindisha sheria ili kuweza kuleta mabadiliko waliyoyataka. Historia ina huruma sana kwa viongozi waliofanya hivyo ili kuleta mabadiliko chanya kwa watu wao. Kwa bahati mbaya mifano mingi ni negative na wengi baada ya kuonja absolute power iliwawia vigumu kurudi nyuma kwenye utawala wa sheria na nidhamu. Na hawa historia ina tabia ya kuwatupa katika shimo la takataka!Umechambua vizuri, lakini mtu ambaye haheshimu raia na sheria ni janga kwa taifa, yeye kila mtu kwake ni kumuwazia mabaya
Tangu ile shughuri iishe hujaonekana kabisa
Hapo SawaMsukuma ni simba ya buyenze
Magari ya kisasa ni computerized mkuu. Ni kiasi cha ku-hack software tu kazi kwisha. Au we gari lako ni kuukuu sana?Hiyo mpaka kuchange gear box mkuu ...??

Hahahhhh unanitamanisha sijui nibadili gia angani![]()