Makapuku Forum

Makapuku Forum

eb8d0c22eb8c6388eea4f168fd5c0b11.jpg

Simba mpo?
........
Lee yupo
 
Tatizo ni kwamba hatujui lengo lake ni nini. Pengine hata wakimtoa lengo lake litakuwa limeshatimia. Kumbuka tayari ni tajiri wa kutupwa (kama yaliyosemwa bungeni ni kweli!). Siasa ni kama mchezo wa chess. I hope anajua anachofanya!

Let's hope so. lakini akae akijua kwenye chess kuna Bishops, Knights, Kings and Pawns na kamakumwangalia tu unagundua kuwa huyu jamaa ni Pawn, anaweza kwenda mbele tu na kukamatwa ni rahisi sana hasa kama Mabishop na making wakiona anawakanyagia waya
 
Seriously, approach aliyotumia kwanza si sahihi na ina gharama kubwa. Hii inaweza fanywa na kiongozi wa kiimla tu na bahati mbaya sana hatunaye hapa hata kama atajitangaza kuweza kufanya analotamani kufanya.

Kajamaa ukikaangalia kanajilinganisha na kufanya mambo ya kiMedici zama za Florence ambapo wanajifanya kuwa karibu na umma huku wakinufaisha wao zaidi. Matamko yake na namna anavyoweza kuwashurutisha bila shuruti watu wenye taaluma ( likiwemo kundi la maaskari na wanausalama) kutimiza ndoto zao za kifisi.

Yana Mwisho, aliandika Shafi lakini mwisho hauwezi kama umma haujatambua kuwa una nguvu (social contract) dhidi ya maamuzi bila mashauriano.

Nway, makapuku ni sehemu bora kabisa ya kufurahia jukwaa
Mkuu hata Sheria za kimila haziwezi kushindana na Sheria za nchi/written laws kamwe sema tu kijijini watu hawajui Sheria nfio maana wanapelekeshwa tu km ng'ombe
Kwahiyo mikwara ingeweza kusaidia huko kijijini kwao

........
 
Haki ya nani una bahati Shunie. PM yako isingekuwa blocked sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine. Msukuma huwa sishindwi haya mambo nikiamua na si ajabu sasa hivi ungekuwa unanyonya Margarita ukiwa kwenye heated indoor swimming pool Maryland. Yule mwenye empire angepiga makelele weeee lakini mwishowe angelala. Kutesa kwa zamu ati!

===>Tucheke jamani ili angalau tuongeze siku za kuishi . Makapukuz foreva and eva!!!
lee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom