Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unajua. Wanahistoria wanaweza kukupa mifano mingi ya viongozi waliopindisha sheria ili kuweza kuleta mabadiliko waliyoyataka. Historia ina huruma sana kwa viongozi waliofanya hivyo ili kuleta mabadiliko chanya kwa watu wao. Kwa bahati mbaya mifano mingi ni negative na wengi baada ya kuonja absolute power iliwawia vigumu kurudi nyuma kwenye utawala wa sheria na nidhamu. Na hawa historia ina tabia ya kuwatupa katika shimo la takataka!

Jambo linalonishangaza mimi na hata kunitia wasiwasi ni kutojali hata pale ambapo angeweza kujipatia pointi za bure kisiasa. Mfano, mambo yaliyofanyika baada ya tetemeko la ardhi Kagera yalinishangaza sana. Anyway, tumo barabarani na safari ni lazima iendelee. Si vibaya wasafiri wakilisimamisha gari na kudai waelekezwe wapi wanapelekwa hasa kama wanahisi wanakopelekwa ndiko-siko. Ni haki yao!
Nani wa kulisimamisha wakati wananchi hatuna mshikamano na uthubutu???
 
FB_IMG_1486992228571.jpg
 
Nani wa kulisimamisha wakati wananchi hatuna mshikamano na uthubutu???
Kama ni hivyo basi kuna wa kulaumiwa? Pengine maajabu yatokee paka wenyewe wakinai kuwamung'unya panya bila kufungwa kengele au dereva mwenyewe abadili welekeo kwa hiari yake. Yote yawezekana ati! Haya mambo wakati mwingine ni magumu na yako complicated sana....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom