Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Msalimiee shemelaMorning wakuu!
Nawatakia siku njema wote.
Msalimiee shemelaMorning wakuu!
Nawatakia siku njema wote.
Namaanisha Parachichi ni a.k.a. yake hilo bomu la kurusha kwa mkonoJaribu kunizingua uone
Namaanisha Parachichi ni a.k.a. yake hilo bomu la kurusha kwa mkonoJaribu kunizingua uone
Aaanhaaa nilikuwa sijakupata [emoji1] [emoji1] [emoji1]Namaanisha Parachichi ni a.k.a. yake hilo bomu la kurusha kwa mkono
Mweh Mweh Mweh!!![emoji134] [emoji24] USIMTAJEEKuna binti mmoja kapuku anaupelekesha moyo wangu jamani. Nimtaje nisimtaje? [emoji125][emoji125][emoji125]![]()
Salama le diktata, Karibu sana.....naona ratiba kidogo imeachia[emoji4]Za asubuhi wakuu, kumekucha.
Leo katika Historia inarudi rasmi, tuonane baadae kidogo.
Naombeni sapoti yenu.
Mtaje ila hasiwe .....Kuna binti mmoja kapuku anaupelekesha moyo wangu jamani. Nimtaje nisimtaje? [emoji125][emoji125][emoji125]![]()
Utajibu kesi mukongo shemela lake pendwa shunieMweh Mweh Mweh!!![emoji134] [emoji24] USIMTAJEE
Baby [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] misng sooooo muchimemtokea nn
Ratiba iko poa kwasasa, nataka niirudishe segment yetu ili tuendelee kujuzana mambo mbalimbali.Salama le diktata, Karibu sana.....naona ratiba kidogo imeachia[emoji4]
Acha kujishtukia mkuu. Kumbuka kwamba [emoji116][emoji116][emoji116]Mtaje ila hasiwe .....
Pamoja BablaiRatiba iko poa kwasasa, nataka niirudishe segment yetu ili tuendelee kujuzana mambo mbalimbali.
Yeah, Collina alikuwa bonge la refa1960 - Pierluigi Collina anazaliwa.
Refarii wa zamani kutoka nchini Italia aliyekuwa pia mwamuzi wa kimataifa aliyetambulika na FIFA.
Alijipatia Umaarufu kutokana na style yake ya kunyoa Kipara muda wote na macho makali yenye umakini awapo uwanjani.
Anatajwa kama Refarii bora wa wakati wote katika mchezo wa soka.