Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
poa poa,mambo yanaendaje?The Book nawe pia
poa poa,mambo yanaendaje?The Book nawe pia
Yanaenda vizuri, vp pande hizopoa poa,mambo yanaendaje?
Naona umeingia 2017Mughonile? Tulobwike
Ndaga Kyala
..........
SwallamahYanaenda vizuri, vp pande hizo
Mimi nipo Mabibo Beach namalizia kutengeneza baruti ikifika saa 5:00 najimwaga kitaa kulipua.
![]()
![]()
![]()
.........
Bitoz umevuka mwakaSalamu
dawa ya moto ni motoKwa wale niliowakosea 2016, nimewakwaza, walinikasirikia......hilo lilikuwa ni trela tu........ngoja sasa muone 2017 ntakavyo wawashia moto.
(joke)
happ new yeaBado 1...na sasa ni mwaka 2017 kapuku HAPPY NEW YEAR
Kwetu sote makapukuShout outs to makapuku wote mkiongozwa na kapuku mkuu hama hakika hili jukwa la matajiri wa like limetishaa sana kwa mwaka huu kuliko majukwa mengine yoooooote JF.
Happy new yeaeeeeeeeer 2017
stimulantInaongeza nini hiyo
Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya Mussolin5 , Jimena,QUIGLEY, shululu, Shunie, sacajo, lee empire The Book, Bailly5, Zamiluni Zamiluni, PNC 1, lizziebettie, @sweetiepie, , The bold, Bitoz, lothrito na jf members wote.....ujumbe- nawaambia 2017 ndio hii wachakarike mkulu kanuna......wimbo wa "Blad Key-vinapanda bei" uwaburudishe![]()

pamoja shukran kwa LuvWanangu makapu wote nawapenda sana
Man u naiona big fourKatika michezo na burudani man city yamaliza mwaka vibaya ..Chelsea hizi sasa sifa ushindi kama kawaida yao , man United yaua ,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
AminHeri ya mwaka mpya 2017 Makapuku wenzangu.
Huu uwe mwaka wa mafanikio kwetu
Uwe mwaka wa wenye amani! Familia zetu ziishe kwa amani
Mwezi Dec 2017 tuje hapa Kumshukuru Mungu...
SafiSwallamah
Bado sanaMan u naiona big four