Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndg makapuku:
Tumekuwa pamoja bega kwa bega tukiusongesha uzi huu tangu April, na sasa tuna miezi zaidi ya 8 tukiwa pamoja hapa.
Kwangu mimi nimeifurahia kampani na ushirikiano wenu ambao umezaa matunda chanya kwangu.
Nimejifunza mengi mbali na changamoto za hapa na pale, lakini mwisho wa siku tulibaki wamoja.

Binafsi wapo niliowakwaza naomba mnisamehe.
Kwa upande wangu sina ninaye mlaumu, NAWAPENDA WOTE, WENYEJI NA WAGENI.
Najua wote tuna haki na hadhi sawa bila kujali ulijiunga lini.
2017 i mlangoni na kwa msaada wa Mungu tutauona;
NACHUKUA NAFASI HII KUWATAKIA BARAKA TELE NA AFYA NJEMA 2017.
Nisingependa kuwataja majina kwa kuogopa kumsahau yeyote.
Nawapenda sana
 
Mkuu tunashukuru kwa ukarimu wako kiukweli mimi kama mimi ulinipokea vyema katika forum hii tunahitaji kuendelea kujifunza mengi na upendo wako udumu mara dufu ..heri ya kumaliza mwaka na pokea vizur mwaka mpya

Nisamehe niliingilia kitengo chako cha magazeti ila najirahid nisikuangushe
 
Karibu sana mkuu.
Nimefurahi sana kuendeleza segmenti ya magazeti kwani kwasasa nimebanwa sana na kazi.
Kwa taarifa yako nami nilikuwa namsaidia Jimena.
Kazi nzuri sana, endelea ndg. Nakutakia mwaka mpya 2017 mwema kwako
 
Ndg makapuku:
Tumekuwa pamoja bega kwa bega tukiusongesha uzi huu tangu April, na sasa tuna miezi zaidi ya 8 tukiwa pamoja hapa.
Kwangu mimi nimeifurahia kampani na ushirikiano wenu ambao umezaa matunda chanya kwangu.
Nimejifunza mengi mbali na changamoto za hapa na pale, lakini mwisho wa siku tulibaki wamoja.

Binafsi wapo niliowakwaza naomba mnisamehe.
Kwa upande wangu sina ninaye mlaumu, NAWAPENDA WOTE, WENYEJI NA WAGENI.
Najua wote tuna haki na hadhi sawa bila kujali ulijiunga lini.
2017 i mlangoni na kwa msaada wa Mungu tutauona;
NACHUKUA NAFASI HII KUWATAKIA BARAKA TELE NA AFYA NJEMA 2017.
Nisingependa kuwataja majina kwa kuogopa kumsahau yeyote.
Nawapenda sana
Pamoja
..........
 
181b4c0896525d923939e53cd8300c9f.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom