Makapuku Forum

Makapuku Forum

]
09a4d0b18763baf26e8b54df562fefb9.jpg
 
Na mwaka huu tutakinukisha kinoma..
Tatizo wengi wakati thread onaanza tulikuwa free now wengi tunabanwa na maisha ndio maana tunaibuka kwa kuvisiana
....

Kweli kabisa hili ni bonge moja la thread sema watu wanalichukulia poa tu sijui kwanin... mimi nimeshtuka mapema na mwaka huu tutakinukisha hadi wapate homa ya wivu na huku harakat zikiendelea.

Happiest new year makupuku family.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom