Na mwaka huu tutakinukisha kinoma..Shout outs to makapuku wote mkiongozwa na kapuku mkuu hama hakika hili jukwa la matajiri wa like limetishaa sana kwa mwaka huu kuliko majukwa mengine yoooooote JF.
Happy new yeaeeeeeeeer 2017
Happy new year makapuku.
Happy New year 2017 kapuku
Happy new year to you all makapuku
Mughonile? TulobwikeHappy new year
Sio kwa kuadimika huko
Karibu sana
Heri ya mwaka mpya makapuku woteeeeee
Mukongo tapeli tuNapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya Mussolin5 , Jimena,QUIGLEY, shululu, Shunie, sacajo, lee empire The Book, Bailly5, Zamiluni Zamiluni, PNC 1, lizziebettie, @sweetiepie, , The bold, Bitoz, lothrito na jf members wote.....ujumbe- nawaambia 2017 ndio hii wachakarike mkulu kanuna......wimbo wa "Blad Key-vinapanda bei" uwaburudishe![]()
Post ya kwanza mwaka 2017 ndani ya makapuku Forum..Happy new year makapuku.
Nimebanwa jombaLothrito anakutafuta
Hahahahaha asante mkuu..Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya Mussolin5 , Jimena,QUIGLEY, shululu, Shunie, sacajo, lee empire The Book, Bailly5, Zamiluni Zamiluni, PNC 1, lizziebettie, @sweetiepie, , The bold, Bitoz, lothrito na jf members wote.....ujumbe- nawaambia 2017 ndio hii wachakarike mkulu kanuna......wimbo wa "Blad Key-vinapanda bei" uwaburudishe![]()
Karibu sana mkuuPost ya kwanza mwaka 2017 ndani ya makapuku Forum..
Amen AMen AmenHeri ya mwaka mpya 2017 Makapuku wenzangu.
Huu uwe mwaka wa mafanikio kwetu
Uwe mwaka wa wenye amani! Familia zetu ziishe kwa amani
Mwezi Dec 2017 tuje hapa Kumshukuru Mungu...
Nawa piaHeri ya mwaka mpya 2017 Makapuku wenzangu.
Huu uwe mwaka wa mafanikio kwetu
Uwe mwaka wa wenye amani! Familia zetu ziishe kwa amani
Mwezi Dec 2017 tuje hapa Kumshukuru Mungu...
Ahsante sana mkuu, uwe na heri na fanaka zote katika mwaka huu mpya wa 2017.Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya Mussolin5 , Jimena,QUIGLEY, shululu, Shunie, sacajo, lee empire The Book, Bailly5, Zamiluni Zamiluni, PNC 1, lizziebettie, @sweetiepie, , The bold, Bitoz, lothrito na jf members wote.....ujumbe- nawaambia 2017 ndio hii wachakarike mkulu kanuna......wimbo wa "Blad Key-vinapanda bei" uwaburudishe![]()
Pamoja sana. Komaa mwananguNimebanwa jomba
Kuna kamishe kamefanya niwe porini
.........
Tuli nkafuMughonile? Tulobwike
Ndaga Kyala
..........
Asante sana kwa magazeti ya leo mkuu LeeKatika michezo na burudani man city yamaliza mwaka vibaya ..Chelsea hizi sasa sifa ushindi kama kawaida yao , man United yaua ,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thanks LeeNi Siku nyingine tena tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kuiona 2017 ..yafuatayo ni magazeti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
The Book nawe piaheri ya mwaka mpya
Vizuri, nawe pia mkuu kheri ya mwaka mpyaSafi tu. Kheri ya mwaka mpya
Thanks mukongoNapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya Mussolin5 , Jimena,QUIGLEY, shululu, Shunie, sacajo, lee empire The Book, Bailly5, Zamiluni Zamiluni, PNC 1, lizziebettie, @sweetiepie, , The bold, Bitoz, lothrito na jf members wote.....ujumbe- nawaambia 2017 ndio hii wachakarike mkulu kanuna......wimbo wa "Blad Key-vinapanda bei" uwaburudishe![]()