Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mkuuu pongeziiiiiiHappy new year to you all makapuku
Mkuuu pongeziiiiiiHappy new year to you all makapuku
Happy New year afande sacajoHappy new year makapuku.
OyoooooShout outs to makapuku wote mkiongozwa na kapuku mkuu hama hakika hili jukwa la matajiri wa like limetishaa sana kwa mwaka huu kuliko majukwa mengine yoooooote JF.
Happy new yeaeeeeeeeer 2017
MUNGU MKUBWAMungu ni mwema pappaa
Thanks. Pongeziii na kwakoMkuuu pongeziiiiii
GOD IS GOODHappy New year 2017 kapuku
Same to u.........Mr.lee empireHappy New year afande sacajo
Nawe pia mkuu mussolinHeri ya mwaka mpya wakuu
Ndg makapuku:
Tumekuwa pamoja bega kwa bega tukiusongesha uzi huu tangu April, na sasa tuna miezi zaidi ya 8 tukiwa pamoja hapa.
Kwangu mimi nimeifurahia kampani na ushirikiano wenu ambao umezaa matunda chanya kwangu.
Nimejifunza mengi mbali na changamoto za hapa na pale, lakini mwisho wa siku tulibaki wamoja.
Binafsi wapo niliowakwaza naomba mnisamehe.
Kwa upande wangu sina ninaye mlaumu, NAWAPENDA WOTE, WENYEJI NA WAGENI.
Najua wote tuna haki na hadhi sawa bila kujali ulijiunga lini.
2017 i mlangoni na kwa msaada wa Mungu tutauona;
NACHUKUA NAFASI HII KUWATAKIA BARAKA TELE NA AFYA NJEMA 2017.
Nisingependa kuwataja majina kwa kuogopa kumsahau yeyote.
Nawapenda sana

Niajeee mzee mwenyeweMakapuku forum
Pembeni yake alikuwepo HadijaNawatakieni heri ya mwaka mpya wadau wote
Mwaka huu vituko vilikuwa vingi....mfalme wa pori alikuwa Faru John
![]()
![]()
![]()
.......
Inaongeza nini hiyo![]()
hapan mkuu nipe mirungi napenda vitu asili
Tupomakapuku mpo wap![]()
Lothrito anakutafutaMimi nipo Mabibo Beach namalizia kutengeneza baruti ikifika saa 5:00 najimwaga kitaa kulipua.
![]()
![]()
![]()
.........
Happy new year
Hata mimi nimeonaMambo sukari![]()
MhhhhhhNani atatupia post ya mwisho mwaka huu na nani atatupia post ya kwanza mwakani???.....who knows.....but time will tell
Nimeuona aiseeBado dakika 56
Unamuomba nani kwa mfanoNdo cha muhimu