shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,319
Mm npo dodom naangaliaa bunge tu hapaa
Nilipo ata sipajuiimakapuku mpo wap![]()
Mambo sukariMukongo mambo

Nawe pia mkuuHeri ya mwaka mpya wakuu
Ndg makapuku:
Tumekuwa pamoja bega kwa bega tukiusongesha uzi huu tangu April, na sasa tuna miezi zaidi ya 8 tukiwa pamoja hapa.
Kwangu mimi nimeifurahia kampani na ushirikiano wenu ambao umezaa matunda chanya kwangu.
Nimejifunza mengi mbali na changamoto za hapa na pale, lakini mwisho wa siku tulibaki wamoja.
Binafsi wapo niliowakwaza naomba mnisamehe.
Kwa upande wangu sina ninaye mlaumu, NAWAPENDA WOTE, WENYEJI NA WAGENI.
Najua wote tuna haki na hadhi sawa bila kujali ulijiunga lini.
2017 i mlangoni na kwa msaada wa Mungu tutauona;
NACHUKUA NAFASI HII KUWATAKIA BARAKA TELE NA AFYA NJEMA 2017.
Nisingependa kuwataja majina kwa kuogopa kumsahau yeyote.
Nawapenda sana
Senks

Happy new year shem

Nawe piaHeri ya mwaka mpya wakuu
Nataman niwe wa kwanzaNani atatupia post ya mwisho mwaka huu na nani atatupia post ya kwanza mwakani???.....who knows.....but time will tell
Tumezipokea
Iv hii issue bado haijaishaga?Hapana aisee mm sina mimba sijui nan huyo aliyeandika yaan jf nikiingia naingia uku makapuku nakutoka ndio sijaona
Bado dakika 56
Uko makini kapukuBado dakika 56
Sana aiseeUko makini kapuku
Iliishaa kitamboIv hii issue bado haijaishaga?
Ngoja tusubirieSana aisee
Tuombe pumzi tuNgoja tusubirie