Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Hapa ni ukumbi wa masela....kuna wasomi,wajasiriamali n.k ila kwavile ni Chit chat tunajimwaga kisela sasa mazoba wanafikiri sisi ni madogo wa SekondariKweli kabisa hili ni bonge moja la thread sema watu wanalichukulia poa tu sijui kwanin... mimi nimeshtuka mapema na mwaka huu tutakinukisha hadi wapate homa ya wivu na huku harakat zikiendelea.
Happiest new year makupuku family.![]()
Sawa hapa upo huru kurukarukanimeelekezwa nije uku mimi nimejiunga leo
.......