Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakongwe wanajiweka pembeni maana hao makapuku wamezidisha ukapuku na ulumumba
Utamu wa hoja ni uijadili ama kuitetea kwa mashiko na sio kiupambe upambe ama kiushabiki bendera fuata upepo
Waendelee tu na ukapuku wao hadi wazalishe vikapuku
 
Hao labda na sisi tuanzishe jukwaa letu:

Hili inabidi lichukue na wasio na vyama, wasio na dini, wasio na mlengo wowote juu ya single mothers wala wadada over 30, wanaume wasio na upande kati ya Dar na mikoani na neatrals wote.
Mkuu fanya mpango na sisi tupate forum yetu kama inawezekana

Non-Alignment Forum wasiofungamana na upande wowote free soul and mind nitakuwa mwanachama hapa...
 
inawezekana ikawa kweli lakini ni vizuri tukaelewa kwenye kila jamii lazima patakuwepo watu maarufu hilo halikwepeki na hii ni mtu anazaliwa nayo hata akisema jambo la kijinga watu watamuelewa na kumshabikia mwenzangu na mm hata ufanyeje huwezi kuwa maarufu na watu hawawezi kukuelewa
 
Jf haina matabaka" how com watu hatujuani tunatumia ID fake thn unitenge huo si utaira.
Thn kuhusu "kapuku" mtu unajiita au kujikubali ww ni kapuku katika kundi la Watu flani kama sio ubwege n nn"
Kila mtu ana interest yake humu kuna wapenda siasa. Mpira, Music, Mapenz/ngono kila mtu na ladha yake na anachokipenda sio matabaka"
 
Mkuu fanya mpango na sisi tupate forum yetu kama inawezekana

Non-Alignment Forum wasiofungamana na upande wowote free soul and mind nitakuwa mwanachama hapa...
ulilazimishwa kujiunga JF mpaka usapoti ujinga kama huu kwanza hujawahi kuchangia hata sh 10 unalalamika watanzania tusipende kulalamika na haya ndio matatizo ya vitu vya bure ifike mahali JF ili uwe member uwe unalipia watu kama nyie mtapungua naomba viongozi mlifikile hili
 
Easy Easy taratibu mkuu

quote yangu ya kwanza chini kabisa nimeandika (am kidding) sioni haja ya wewe kupanic kiasi hiki calm down achana na mastress utazeeka mapema mkuu
 
Aiseee...... tuwape ushirikiano bhasi
nadhani wakati mwingine tusiwe wepesi wa kukubali hoja nyepesi kama hizi wapewe ushirikiano upi wakati humu watu tunatumia ID fake mm naona hao wametumwa tena ni virus wabaya sana tuwaogope kama ukoma na naomba wapewe ban wanataka kuleta mambo ya Fb na whatsaap unajua kuna watu wapo wana mapepo ya kukosanisha jamii wao kila watakapoenda wakitoka wanaacha watu hamko salama
 
ulilazimishwa kujiunga JF mpaka usapoti ujinga kama huu kwanza hujawahi kuchangia hata sh 10 unalalamika watanzania tusipende kulalamika na haya ndio matatizo ya vitu vya bure ifike mahali JF ili uwe member uwe unalipia watu kama nyie mtapungua naomba viongozi mlifikile hili

Benny huyu umemtoa wapi?
 
Easy Easy taratibu mkuu

quote yangu ya kwanza chini kabisa nimeandika (am kidding) sioni haja ya wewe kupanic kiasi hiki calm down achana na mastress utazeeka mapema mkuu
sitaki nani kakwambia nimepaniki umeambiwa leo ni siku ya wajinga tena una bahati ningekuwa na uwezo ningekupiga ban
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom