Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Mwaka C wa kanisaKwenye Misale tupo mwaka gani kwa sasa?
Mwaka C wa kanisaKwenye Misale tupo mwaka gani kwa sasa?
Asante Mkuu kwa kunikumbusha, nna siku siendi kusali.Mwaka C wa kanisa
mkuu wa majeshi MAKAPUKU FORUM naona askari wangu mmeiva ...jeshi halinaga dini...mi bado niko msituni napiga stori na mizimu ya akina IDD AMINI DADAA, BENITO MUSOLIN, na ADOLF HITLERNaona watu wako busy na biblia kwa mda huu, sijui na mimi nifungue tv nisali TBC1!? Maana Kanisani ni mbali.
Huwa unaenda kakaAsante Mkuu kwa kunikumbusha, nna siku siendi kusali.
Hahahahaaaa..... Tukistaafu jeshi ndo tuanze kwenda kanisani!?mkuu wa majeshi MAKAPUKU FORUM naona askari wangu mmeiva ...jeshi halinaga dini...mi bado niko msituni napiga stori na mizimu ya akina IDD AMINI DADAA, BENITO MUSOLIN, na ADOLF HITLER
hapana mkuu kazi za majeshi huwaga ziko blessed moja kwa mojaHahahahaaaa..... Tukistaafu jeshi ndo tuanze kwenda kanisani!?
Mkuu mbona poa tu hiyo! Mi mwenyewe nnamuda mrefu nasali kupitia TV tu. Wamerahisisha sana.Naona watu wako busy na biblia kwa mda huu, sijui na mimi nifungue tv nisali TBC1!? Maana Kanisani ni mbali.
Mkuu mbona poa tu hiyo! Mi mwenyewe nnamuda mrefu nasali kupitia TV tu. Wamerahisisha sana.
Nitajitahidi kaka, maana kumuomba Mungu wetu ni wito wetu.Huwa unaenda kaka
Hapana sina kakaNitajitahidi kaka, maana kumuomba Mungu wetu ni wito wetu.
Samahani kaka, naweza pata nyimbo za mama Bikira Maria za miaka ya nyuma. Redio Maria huwa wanazipiga sana hasa baada ya kumaliza kusali rozali takatifu saa sita usiku.
Utandawazi.Mkuu mbona poa tu hiyo! Mi mwenyewe nnamuda mrefu nasali kupitia TV tu. Wamerahisisha sana.
Unaweza nitafutia labda kwa mtu wa karibu anaweza kuwa nazo!Hapana sina kaka
Hapa ni kutoa like na kupata like.Hivi likes bado wanatubania?
Mbona hazizidi like 5?Hapa ni kutoa like na kupata like.
Asante sana my dearWith all due respect Mr. Please for the love of God and for the love of the earth....usimuite jimena ndege, please please.
Address her kama Duchess of JF, ukishindwa hivyo muite Sunrise. Please.
Her beauty is incomparable!!!
