Makapuku Forum

Makapuku Forum

723edc248fe4623f78098d2a500d3690.jpg
8a080fe290a58d3d6301729e0c422643.jpg
6facaa6115d7a9b5353a596557f971ed.jpg


Amen
...........
Uko njema na wewe bitoz safi sana habari yako lakini mkuu bitoz
 
mkuu umenena vyema sana

na ambao sio makapuku wala wakongwe wanakutana wapi na kila jumangapi?....am kiddin'

Hao labda na sisi tuanzishe jukwaa letu:

Hili inabidi lichukue na wasio na vyama, wasio na dini, wasio na mlengo wowote juu ya single mothers wala wadada over 30, wanaume wasio na upande kati ya Dar na mikoani na neatrals wote.
 
tatizo lao wanataka umaarufu wakati wamefika jana halafu wanataka kuwa sawa na kina lala
Point mkuu! Wanajiunga wiki hii wiki inayofuata na yeye awe "expert member", trophy poin 500, likes 4000..
Alafu sijaelewa kwann wanalalamika eti hawapewi likes!! likes haziombwi ukiongea point watu watalike ukiona unapost kibao lakini hakuna likes unatakiwa uongeze kutanua misuli yako ya ubongo!!
But nawaelewa sana makapuku, mmekataa kufa kijerumani mmepaza sauti!!! Ila prezidnt wenu Bitoz huyu sio kapuku mwenzenu maana anawashindg umaarufu mpaka wakongwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom