briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Fulu jombaa! (kwa sauti ya dogo janja)niaje mazee
Fulu jombaa! (kwa sauti ya dogo janja)niaje mazee
Mkuu hebu nielezee kidogo kuhusu hili Robot la matofali.
Itakuwa wanachezea watoto.Kumbe la matope!,sasa hili linafanyeje kazi.
Karibu sana mkuu,hapa ni upendo na amani.Naombeni pia nikaribishwe na mimi pia kwenye hii forum ya makapuku wenzangu
Inaweza kuwa ni kweli.Itakuwa wanachezea watoto.
Labda ni njia yao ya kutafuta utambulisho, (identity)Habari za Jumamosi wanaukumbi...
Ile kauli ya matabaka hayaepukiki katika jamii imejidhihirisha ndani ya JF baada ya kuibuka kwa members wanaojiita " Makapuku " ambao wengi wao ni members wapya wakilalamika kutopatiwa ushirikiano na members ambao ni wakongwe.
Makapuku wameenda mbali zaidi na kufungua thread yao wakiita Makapuku forum kama sijakosea ikiongozwa na Bitoz Th Name na wengineo, je hii nini maana yake ndani ya JF? Ni kweli ndani ya JF kuna utabaka kati ya wakongwe na members wapya?
Kwani hajarudi mkuuHiyo kanisani ya wapi toka ijumaa.
Nilikumiss pia..... Nimerudi sasa
Lakin si unaona zina-count kule kwenye total?Watu zaidi ya watano wame like but still the same
Kama inaniingia akilin vileeLabda ni njia yao ya kutafuta utambulisho, (identity)
Mzima kabisa, ila alienda kanisani.Mkuu vipi shemeji hajambo?
Hamuendi kanisani pamoja?Mzima kabisa, ila alienda kanisani.
Sio yoyote kati yao
Shemeji nipo sana, mbona unapotea hivyo?Emmyguy upo?
Nimefurahi kukuta wote mko sawaHata sie tulikumiss sana, ingawa tuko wazima wa afya.
Asante mpenzi kwa majibu mazuri.nipo sijambo shem
nipo sijambo shem
Nilikuwa sijakuona shemeji.
Naona mambo mazuri kabisa!

Mie nilimiss uwepo wake TEAM MAKAPUKU.
Taratibu watakuongezea wala usijali.Watu zaidi ya watano wame like but still the same