Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Naogopa kukupasha habari ukiwa njiani unaweza kusababisha ajali.
Naogopa kukupasha habari ukiwa njiani unaweza kusababisha ajali.
Aah wapi natumia ile kitu yenye autopilotNaogopa kukupasha habari ukiwa njiani unaweza kusababisha ajali.
Aah wapi natumia ile kitu yenye autopilot
kwani mkuu ile kitu haipati ajali?
Mpaka ukosee mahesabu![]()
![]()
![]()
kwani mkuu ile kitu haipati ajali?
Th Name katika ubora wake.
Kumbe!Mpaka ukosee mahesabu
Kuna changamoto zake nyingi tu huko angani wee acha tuuKumbe!
Hivi ni kweli kwamba ukisafiri na ungo au ufagio unakutana na milima,mabonde na madaraja kama kawaida au huko juu ni kama carpet?
Changamoto kama zipi mkuu,hebu dadavua kidogo.Kuna changamoto zake nyingi tu huko angani wee acha tuu
Kuna nguvu nyingi sana hapo angani zisizoonekana, kuna viumbe vingi sana pia visivyoonekana, unajua hapo juu pako busy kama barabara ya msimbaziChangamoto kama zipi mkuu,hebu dadavua kidogo.
Kama namuona mkuu Bitoz hapa
Acha uchokozi
Kuna nguvu nyingi sana hapo angani zisizoonekana, kuna viumbe vingi sana pia visivyoonekana, unajua hapo juu pako busy kama barabara ya msimbazi
mshana jr leo nina maswali mengi kwako ila ngoja nikuache kwanza nitarudi badae.
Asante shem, na wewe pia.Mmeamkaje wapendwa?
Siku ya ibada Leo,tujitahid tuwahi
Kanisani.....
Jumapil njema
Hahhahahaaaa unatafuta bifu sasa weweYa kwetu co notable
Hiyo ya wakongwe
![]()
![]()
![]()
![]()
...........

Pouwa![]()
![]()
mshana jr leo nina maswali mengi kwako ila ngoja nikuache kwanza nitarudi badae.
Huku hawawezi kubeep vuruguHahhahahaaaa unatafuta bifu sasa wewe![]()
![]()
![]()
![]()