Makapuku Forum

Makapuku Forum

3c5e6114165640e36666e34c3dff919f.jpg
16a10e1ae210366626b7451e6260177d.jpg
0fea89a253473767559f7df36166a8a8.jpg
a956b65b2fe182f3c683a3f7019a46a5.jpg
 
Hahaha...

Huyu jamaa sikumuelewa kabisa kumbe ni viroba halafu najichosha kiasi hiki?

Raimundo umeona hapo juu jamaa atatupiga ban nimpe ile supu tu apumzike

Mi kasema umri wangu ni mdogo hatanipiga ban, dah mwana tutakumiss humu jukwaani jamaa akikupiga ban.

sio tatizo lako ni umri unakusumbua ukikua utaacha nimekusamehe

Asante kwa kunisamehe mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom