sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Asanteee....Makapuku poleni na mvua
Asanteee....Makapuku poleni na mvua
Ndoa yasemaje, nnawaombeaYeah nawatizama kwa ukaribu
Ndoa iko poa tunazidi kufurahia.Ndoa yasemaje, nnawaombea
Hivi bado unaimbisha au sound zimetiki. Maana sikuelewiSitegeki😀😀
I am a slave only subjected to jimena.
Mnakuja lini mpate baraka za mam mtumishi patience123Ndoa iko poa tunazidi kufurahia.
Mkuu mbona unataka kuzidisha tatizo
Tunasubiri mualiko wako tuMnakuja lini mpate baraka za mam mtumishi patience123
Mkuu unakuwa na kingreza kigumu kama cha ngedere ungabuWith all due respect Mr. Please for the love of God and for the love of the earth....usimuite jimena ndege, please please.
Address her kama Duchess of JF, ukishindwa hivyo muite Sunrise. Please.
Her beauty is incomparable!!!
Eeee... Baba mtumishi maombi yako hatari... Haya hongereni... Furahia ma utamu katka mwanga boraBaba mwosha huoshwa, jana nilifungisha ndoa 2, vijana leo wameamka wanafurahi san, wakasema lazima mtumishi nae apate jiko ili awashauri washirika, ndo patience123 nae kaitika kijana angu, lete habari
Hivi bado unaimbisha au sound zimetiki. Maana sikuelewi
Jimena... HujamboNimefika![]()
tayari kwa kuupokea
Bado hajawa kipepeotatizo hao makapuku wanakuja na thread za kipumbavu,kuna huyu kapuku anaitwa puppa thread,comments zake ni za ovyo
Hivi van jipu gaal bado kocha tuu???![]()
Dk ya 7
..........
upuuzi gani mkuu?Waache kuja na hoja za kipuuzi
Mkuu unakuwa na kingreza kigumu kama cha ngedere ungabu