Makapuku Forum

Makapuku Forum

1971 - Robert Mensah anafariki.

Ni golikipa wa zamani wa Asante Kotoko Kumasi na timu ya taifa ya Ghana.

Ni moja kati ya magolikipa bora kuwahi kutokea katika bara hili la Afrika. Alikuwa na mbwembwe nyingi sana uwanjani.

Alikuwa akipenda kuvaa kofia awapo uwanjani hali iliyompelekea wachezaji wa timu za upinzani kuhisi jamaa anatumia juju kwenye kofia hiyo.

Aliuwawa kizembe kwa kupenda kwake ukorofi awapo mtaani.

Juma Pondamali " Mensah " aliiga jina lake.
Kuumbe!!!
 
Kuna moja, ilikuwa mechi borntown na bush, Sasa kule bush wakati wanasikiliza mpira kupitia radio, gafla wakafungwa, kijiji kizima kinasikitika, shabiki mmoja akavunja radio na shoka kwa kigezo kuwa radio imesababisha wafungue,Sasa sijui radio nayo ilikuwa inacheza [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji1] [emoji1] kitambo sana
 
Morning all
1478145283413.jpg
1478145288554.jpg
1478145292672.jpg
 
Back
Top Bottom