Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Goli la pili lilipofungwa akaita kati halafu akakataa baadae kusema sio goli.Mahaba gani? maana mi matukio sijaona vzr
AzamTv wenyewe wanaficha matukio hata hawaeleweki
Wanaonyesha mpira au wanatangaza km redio maana matukio muhimu hawaonyeshi vizuri kuondoa utata
....
Baada ya Mbeya city kugoma na kutishia kutoka akakubali kuwa ni goli halali.
via penalty



