Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ngumu sana maana picha nyingi halafu ukute maandishi madogo/hayasomekiLeta Bushstars na Borntown
Anyway nitaangalia
......
Ngumu sana maana picha nyingi halafu ukute maandishi madogo/hayasomekiLeta Bushstars na Borntown
Lakini bitoz alisshakuambia mapema, kwamba msimu huu simba wapo vizuriPoleni wana yanga
![]()
![]()
![]()
![]()
Hayo ni mazoezi tu![]()
![]()
![]()
ndo maana hamshindi
Wamefyata midomoLeo watu hawasemi

Jirani vp, naona mzee wa chattle kakuweka busy sanaJonax
Shululu
Quigley
Mussolin5
Macaveli10
Jimenna Jimenes
Tetramelys
Sacajo
Bitoz
Cobblepots
Mkushi wa kusi
Kitabu
Kitwanga....Miss you guys...haya ni maisha tu yanafanya nashindwa kutokea mara kwa mara ila sijawaacha nikiwa napata nafasi kama hivi nadumbukia nagonga likes....tunaendelea!![]()
Ok, wewe angalia kitakachotufaa ndo ukilete.Ngumu sana maana picha nyingi halafu ukute maandishi madogo/hayasomeki
Anyway nitaangalia
......
Ila huyu lodilofa amnichekesha sana, pale alipokuwa abawajibu walr waomba liftNa Jonaxna Kikofia
Mzee kifimbo cheza
Weka pichaSasa hv nmepata demu
Lakini unaichangia yanga (pesa)Mi nipo kawaida kabisa kwani hujui nashabikia pia Mbeya City?
Nyumbani kwanza
.............
Mzee mecoKesho nimlete nani?
Madenge
Ndumilakuwili
Sokomoko
Kipepe
Pimbi
Mzee Meko
Kifimbocheza
Zena na Betina
Sikununu
Bushstars v Borntown
Lodilofa anafanana na Le Mutuz
![]()
![]()
![]()
.....
Alaa kumbe!!Mi nipo kawaida kabisa kwani hujui nashabikia pia Mbeya City?
Nyumbani kwanza
.............
Lodilofa ndio mpango.Kesho nimlete nani?
Madenge
Ndumilakuwili
Sokomoko
Kipepe
Pimbi
Mzee Meko
Kifimbocheza
Zena na Betina
Sikununu
Bushstars v Borntown
Lodilofa anafanana na Le Mutuz
![]()
![]()
![]()
.....
kwahiyo yupo field!Huyo anaigiza urefa tu, bado hajawa refa kamili
Ngoja niwape. nyingineOk, wewe angalia kitakachotufaa ndo ukilete.
Ila huyu lodilofa amnichekesha sana, pale alipokuwa abawajibu walr waomba lift
Mzee meco
Weka picha