Makapuku Forum

Makapuku Forum

1478145318274.jpg
1478145323004.jpg
1478145327444.jpg
 
Jonax
Shululu
Quigley
Mussolin5
Macaveli10
Jimenna Jimenes
Tetramelys
Sacajo
Bitoz
Cobblepots
Mkushi wa kusi
Kitabu
Kitwanga....Miss you guys...haya ni maisha tu yanafanya nashindwa kutokea mara kwa mara ila sijawaacha nikiwa napata nafasi kama hivi nadumbukia nagonga likes....tunaendelea!
Una roho mbaya ndi mana
 
Mbona matukio mengi tu kavurunda
Ndio maana nilisema mechi imemshinda mfano kipindi cha kwanza mpira umesimama km DK 10+(matukio yote) halafu nyongeza kuweka 4 ile first half

Silalamikii matokeo ....hakuna ligi ambayo timu inachukua tu ubingwa kila msimu
Ubingwa siyo habari mpya kwa Yanga
Simba akichukua ndo habari mpya maana ana ukame
Kuna dalili zote Simba bingwa msimu huu....GAP la pts 8 kubwa sana labda mzembee
.......
Wewe ni Shabiki wa Yanga unaejitambua

Umekubali kwamba Sisi n Ma champion
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom