eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
hahaha...mkuu usinichekeshe maana akina Bitoz na Jimena wanaumia kwani viwanja hivyo ndio wao walipoteza point.Kwenye viwanja vyenye matuta kama kambarage huwa tuna kuwa wazur zaid![]()
![]()
![]()
We miss u too!Jonax
Shululu
Quigley
Mussolin5
Macaveli10
Jimenna Jimenes
Tetramelys
Sacajo
Bitoz
Cobblepots
Mkushi wa kusi
Kitabu
Kitwanga....Miss you guys...haya ni maisha tu yanafanya nashindwa kutokea mara kwa mara ila sijawaacha nikiwa napata nafasi kama hivi nadumbukia nagonga likes....tunaendelea!![]()
Umesomeka.Mbona matukio mengi tu kavurunda
Ndio maana nilisema mechi imemshinda mfano kipindi cha kwanza mpira umesimama km DK 10+(matukio yote) halafu nyongeza kuweka 4 ile first half
![]()
![]()
![]()
![]()
Silalamikii matokeo ....hakuna ligi ambayo timu inachukua tu ubingwa kila msimu
Ubingwa siyo habari mpya kwa Yanga
Simba akichukua ndo habari mpya maana ana ukame
Kuna dalili zote Simba bingwa msimu huu....GAP la pts 8 kubwa sana labda mzembee
.......
hahaha...
hahaha...old is gold.
Mkongo mwee....nambie bado upo Tz?

Mi nipo kawaida kabisa kwani hujui nashabikia pia Mbeya City?hahaha...mkuu usinichekeshe maana akina Bitoz na Jimena wanaumia kwani viwanja hivyo ndio wao walipoteza point.
Kesho nimlete nani?hahaha...old is gold.
Lodiii Mavugo Lofa katika ubora wake!
Wewe sio shabikiMashabiki
Huyo anaigiza urefa tu, bado hajawa refa kamiliGoli la pili lilipofungwa akaita kati halafu akakataa baadae kusema sio goli.
Baada ya Mbeya city kugoma na kutishia kutoka akakubali kuwa ni goli halali.
Bank ya maneno inakuhusuYanga mbeya hatoki na point hata moja![]()
![]()
![]()
Leta Bushstars na BorntownKesho nimlete nani?
Madenge
Ndumilakuwili
Sokomoko
Kipepe
Pimbi
Mzee Meko
Kifimbocheza
Zena na Betina
Sikununu
Bushstars v Borntown
Lodilofa anafanana na Le Mutuz
![]()
![]()
![]()
.....
Bora asingerudi, Anaweza kuivunja heshima yake hivi hiviSi ndio kwanza tumemrudisha jamani...
Leo watu hawasemiSimba ni hatari