Nitakutafutia kali zaidi jinsi anavyozingua wazee wa magumashiLodilofa ndio mpango.
hahah...
pamoja...Nitakutafutia kali zaidi jinsi anavyozingua wazee wa magumashi
......
Umetisha kijana
Yapkwahiyo yupo field!
HelloUmetisha kijana
Kuna moja, ilikuwa mechi borntown na bush, Sasa kule bush wakati wanasikiliza mpira kupitia radio, gafla wakafungwa, kijiji kizima kinasikitika, shabiki mmoja akavunja radio na shoka kwa kigezo kuwa radio imesababisha wafungue,Sasa sijui radio nayo ilikuwa inacheza

kwema niajeWapendwa famili habari za wakati huu
Poa mkuu, za weweWapendwa famili habari za wakati huu
Poa mkuukwema niaje
Poa sanaPoa mkuu, za wewe