Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mfumo dume[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Unajua umeshawekwa kwenye kamati ya harusi sasa kwa hili unalomfundisha Bi harus mtarajiwa hiyo harusi itafika kweli...Unajua huku ndani vipanga ni wengi usipopiga beat unanyang'anywa chap sijasema ila dalili si nzur mpaka sasa kati ya Nahrene na ndugu yangu youngblood
 
Hapo sasa nimekuelewa..... Abiria chunga mzigo wako

Harusi itafanikiwa tu wala usitie shaka
 
Back
Top Bottom