Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Dah,aisee we jamaa.![]()
ushapotea bhana huko ni kwa kina damu changa
Dah,aisee we jamaa.![]()
ushapotea bhana huko ni kwa kina damu changa
Mi mwenyewe nimewamiss mpaka naumwaz u knowSama mama tumekumisi sana![]()
![]()
![]()
mpenzi wangu nilikuwa napatanisha tu wapendwa hawa Patience123 na jambilo watoke kuwa miili miwili na wawe mwili mmoja kama nilivyo mimi na wewe... Na no more no less..Na nyie wahusika si ndiyo hivyo jamaniNini kinaendelea hapa...
Kiruuuu kibonkyaruwaaa![]()
![]()
![]()
Nmeshaelewa kila kitu babyMpenzi kwanza pole na kazi naomba nikupokee hand bag kwanza..Ndiyo nikuhadithie yaliyojiri my dear..
Andaa my dSo tuandae chai?
Tuko poa, tunamiss likes zako tuOyooooooooo i hope mpo poa humu
nimehama bhanaWe nawe acha kuzuga...hapa si mara zote nakukuta ...toka nje bana

Malalia da mae..Mashika lee...Love you more honey..Aaahhh
Hapa mori ya machame nkwarungo ishapanda
Love you![]()
Inaelekea wew kachero, uliomba maana ya majina ukapewa, leo umri, kesho mahali waliko, keshokutwa namba za cm, hee,
Mkuu acha kupepesa macho wew unayo na ndoa ni novHuyu patience 123 naye already taken😱😱
Huyu hana kitu,mtu analala stand atamuweka wapi huyu mtoto.Shemeji youngblood soma hii kitu hapo juu..

Nakuambia barabara zinajaa maji mvua ikinyesha ukipita na gari inakua kama spray tu waliopembeni kwa miguu wanabaki wanalaani tuMkuu inabidi msimu ujao ununue pantoni.
Usihofu sis tunahofu ya bwana tutasubiri wakati hata tukijifungia hamna ubayaMkijifungia yawe maombi kweli. Mambo mengine mpaka wakati wa bwana ufike.
Nashukuru sana mpenzi kwa kunielewa honey.Nmeshaelewa kila kitu baby
Ndio nimeonekana muda huu, yani nimekuwa adimu kama fedhaupo wewe?
Nimekuelewa Shemeji ..Huyu hana kitu,mtu analala stand atamuweka wapi huyu mtoto.
Mkuu acha kupepesa macho wew unayo na ndoa ni nov
Manuu umenifundisha jambo mhim, ctaacha kufanya wema nimeona matunda yake kupitia kwakoNikushukuru sana Patience123 kwa ufafanuzi huu maridhawa naamini HOPECOMFORT atakuwa amepata jibu la swali lake..