sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
teh teh teh leo kifimbo kitatulia afu utacheza weweAnko kifimbo cheza
teh teh teh leo kifimbo kitatulia afu utacheza weweAnko kifimbo cheza
Kufa usife maana ntakumiss, ila tu jitahidi mashairi yawe matamu kama yale ya mfalme Suleiman vinginevyo hutapata kituAaaah!! Jimena punguza pozi basi mama eee!! Au mpaka nife kibudu na utamu wangu.
Hahah ndoa na iheshimiwe na watu woteMkuu Th Name nikuombe kwa heshima na tahadhima uje uongoze couple hii mpya katika daftari lako..Hakika hii inazidi kupendeza mno..Na tangu sasa mmekuwa mwili mmoja alichokiunganisha Manuu hakuna awezaye kukitenganishi isipokuwa Manuu mwenyewe..
kabisa huyu mtumishi ni hatari sana,,,,wacha nifurahi pamoja naeNa nimsifu hajalaza damu na couple mpya sasa imeshapatikana kati Patience123 na jambilo

Uncle katika mahari usisahau Chevrolet ya kwako maana unastahili kulingana na ulinzi madhubuti ulioufanyahawa vijana wakiona tu kuna 'she' anahang around wanataka wagawane kama parachichi
sawa team facebookKufa usife maana ntakumiss, ila tu jitahidi mashairi yawe matamu kama yale ya mfalme Suleiman vinginevyo hutapata kitu
Kufa usife maana ntakumiss, ila tu jitahidi mashairi yawe matamu kama yale ya mfalme Suleiman vinginevyo hutapata kitu
Nishachungulia sweetheart...nimekuta pananukia mawaridi yako.Daah ciamini vile, hebu chungulia kule
Nashukuru sana mwanakamati na naomba umwite na mpenzi wangu sasa umueleweshe maana alishaanza kunihukumu na yeye kupitia ulichosema pale juu amaizing nakupenda sana mae..Hapo sasa nimekuelewa..... Abiria chunga mzigo wako
Harusi itafanikiwa tu wala usitie shaka
sawa team facebookKufa usife maana ntakumiss, ila tu jitahidi mashairi yawe matamu kama yale ya mfalme Suleiman vinginevyo hutapata kitu
Hii ndiyo shida ya kukosa kunyonya maziwa ya mama.sawa team facebook
Let's wait and seeMepesi tu ka kumsukuma mlevi mpya!!!
sawa team facebook
Jimena tangu jana nimeunganisha 2 wachumba ndo hawana idadiNasikia we ndio padre wetu sasa nataka kujua mpaka sasa umeshafanikisha ndoa ngapi?
Kabisa ndugu yangu..Hahah ndoa na iheshimiwe na watu wote
Una moyo sana, yani mpenzi kapotea na unaenda kupata lunch?? Haya enjoyWakuu tafadhali nawaomba tupate kwanza lunch then turudi after 30 min
Nimeitikia mkuuAmeitikia kweli?
Amen mkuuUbarikiwe mtumishi
Nikifa njaa akirudi hatanikuta..Una moyo sana, yani mpenzi kapotea na unaenda kupata lunch?? Haya enjoy
