manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Siri yako hii..Ha ha ha haaaaaa....
Siri yako hii..Ha ha ha haaaaaa....
It sound good to hear, nije Kidatu kwa semina nini!Na mimi si nakuwa mama mtumishi jamani. Mbona watu mko hivyo?"Mtumishi wa Bwana lakini mwanaumee"
Sa nimepatia wapiHujakosea lakini mim cio padre mkuu
kivipi tena mkuu ... kwani hapa ni sokoni nitajiwe bei nishtuke?Mkuu mbona umepanic.
Dah!,raha sana.Mpenzi wangu amaizing popote ulipo naomba uje twende lunch honey..
Hakika..Wakuu tunatoka utukufu mdogo hadi utukufu mkubwa na nguvu hadi nguvu, nashairi na like ziwe 7 mnaonaje!
Hapana mkuu naye amekubali kuwa ma mtumishi thanx to u manuuUtumishi kwa mtoto mzuri kama Patience123 unawekwa pembeni...
Mkuu hapo sasa ushindwe wewe tu.Giraffe welkome😀😀😀
If u allow me let me give u a tour🙄
Mkuu taratibu basiii!Kamati ya chini au kamati ya juu????
Karibu Mtumishi..It sound good to hear, nije Kidatu kwa semina nini!
Utamshobokeaje bibi kwa mfano!?Hahahaaa, hivi mbona sioni watu kumshobokea huyo faiza?
kivipi tena mkuu ... kwani hapa ni sokoni nitajiwe bei nishtuke?
haya mkuu.PasteDah!,raha sana.
Wakuu hapana acha Mungu mim, pia Mungu naye si lazima anipe k2 kizuri jamani!Mungu nae atamuweka pembeni
Jimena umerudi rasmi au unapita tu.Sawa mkuu kwa pamoja malengo yatakamilika