Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Nakuambia barabara zinajaa maji mvua ikinyesha ukipita na gari inakua kama spray tu waliopembeni kwa miguu wanabaki wanalaani tu

Nakuambia barabara zinajaa maji mvua ikinyesha ukipita na gari inakua kama spray tu waliopembeni kwa miguu wanabaki wanalaani tu

Hebu sema shida yako nione ntakusaidiaje?Nitaandaa barua ya wazi kwa makapuku wa jinsi ya KE, hii hali haiwezi kuendelea kuwa hivi hivi daily.
Mmh!!Ndio nimeonekana muda huu, yani nimekuwa adimu kama fedha
Sana ndugu angu na msaidie mtu leo kama una uwezo maana hujui kesho atakusaidia wapi...Manuu umenifundisha jambo mhim, ctaacha kufanya wema nimeona matunda yake kupitia kwako
Utampeleka wapi,hata geto hauna.mkuu mbona huelewi nimekwambia yupo huku namfundisha kilimo bora![]()
![]()
Nimeona hiyo gold mkuuMbona mtoto anajimwaya mwaya huku na hadi keshajiita mama mtumishi bana... Patience123
Nkwarungo meru au moshi jiraniAaahhh
Hapa mori ya machame nkwarungo ishapanda
Love you![]()
huku huku shambani kwani kilimo watu wanajifunzia getoUtampeleka wapi,hata geto hauna.

Shamba lipi mkuu,kariakoo kuna mashamba??huku huku shambani kwani kilimo watu wanajifunzia geto![]()
![]()
Moshi machameNkwarungo meru au moshi jirani
Ngoja nimsaidie yuko nyang'anyang'a kwako na kwa wasichana wote humu ye hachagui anataka kila mmojaHebu sema shida yako nione ntakusaidiaje?
Hivi amepotea au amefichwa?? Isiwe watu wanampa gud tym huko we unalia lia tu hapaAisee mke wangu amepotea tangu jana,naomba ushauri wako nifanyeje?.
Hapa tayari nimevurugwa.
Halafu kumbe wa home kabisa huyu kweli sijakosea njia hapa..Nkwarungo meru au moshi jirani
Mkuu nafikiri mtafute mshana jr akusaidie kusafisha nyota, hii si kawaida,kukataliwa huku vepeee.Nitaandaa barua ya wazi kwa makapuku wa jinsi ya KE, hii hali haiwezi kuendelea kuwa hivi hivi daily.
we endelea kuzunguka hapo hapo hujui cku izi watt hawawapendi 'wavulan' wa dasilamuShamba lipi mkuu,kariakoo kuna mashamba??
Sasa mbona unanitisha mkuu,wewe niambie nifanyeje!Hivi amepotea au amefichwa?? Isiwe watu wanampa gud tym huko we unalia lia tu hapa
Mmmmmmhh basi atakosa woteNgoja nimsaidie yuko nyang'anyang'a kwako na kwa wasichana wote humu ye hachagui anataka kila mmoja