manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Wow naona mambo yanaanza kujipa mapema kabisa hapa...
Wow naona mambo yanaanza kujipa mapema kabisa hapa...
Sawa mkuu.Akiachiwa tu atakupigia, mtu mzima hapotei, kunywa glasi ya maji kisha urelax
Sasa tatizo hujui unampenda nani..... Na kwasababu hiyo nasikitika ya kuwa hata mimi nashindwa kabisa kukubaliana na ombi lakoNikikosa wote fine nikimkosa jimena i will die with my heart beating for her.
MaanuuuuHalafu kumbe wa home kabisa huyu kweli sijakosea njia hapa..
Kaka usiwaze sana wifi atakuwa prayers room anafanya maombi ndoa yetu itimieSasa mbona unanitisha mkuu,wewe niambie nifanyeje!
Hapa nafikiria kwena polisi kuripoti.
Mkuu nimejua tu,kwani uongo!?mkuu umetumia kipimo gani kuyajua hayo yote?
Mfumo dumeMpenzi kwa nini unatoa siri zako bila ruhusa yangu huyo anaetaka kujua hadi home aniulize mimi hapa kila kitu kinachokuhusu kipitie kwangu kwanza hii aisome pia HOPECOMFORT

Mkuu take it easy huku matani ni mengi sana...mkuu umetumia kipimo gani kuyajua hayo yote?
Kipimo kitakuwa cha macho tu....mkuu umetumia kipimo gani kuyajua hayo yote?
Daah ciamini vile, hebu chungulia kuleSweetie...unataka niseme nini tena ma'beibe? Hapa kama ni mnyama keshaeleke 'kibla'anakusubiri tu wewe mchinjaji.
Na kwa ujumbe huo ndo umeambulia patupuuu.... Unaondoka kama ulivyokuja
Kabisa youngblood shemeji kuwa na amani unajua unapojikabidhi magotini mwa bwana huwa haraka haitakiwi kabisa...Tuendelee atakuja tu kama mpenzi alivyosema hapa atakuwa yupo sehem salam kwa ajili ya jambo jema kabisa..Kaka usiwaze sana wifi atakuwa prayers room anafanya maombi ndoa yetu itimie
Jana manuu alipotea Leo karud kaja na kisingizio cha prayer room
Basi wifi nae atakuwa huko...tuvute subra atarudi tu
Asante kwa kujali ankalimm ndo anko wake ebu jieleze vizuri kijana

Aisee,hizi prayers sasa ni balaa.Kaka usiwaze sana wifi atakuwa prayers room anafanya maombi ndoa yetu itimie
Jana manuu alipotea Leo karud kaja na kisingizio cha prayer room
Basi wifi nae atakuwa huko...tuvute subra atarudi tu
Join them plzMakapuku uprising! Balaa,mnatisha.
HahahahahahahahDaah ciamini vile, hebu chungulia kule
Sawa shemeji.Kabisa youngblood shemeji kuwa na amani unajua unapojikabidhi magotini mwa bwana huwa haraka haitakiwi kabisa...Tuendelee atakuja tu kama mpenzi alivyosema hapa atakuwa yupo sehem salam kwa ajili ya jambo jema kabisa..
Sawa swirrBeiby,usiwasikilize hao..nisikilize mimi peke yangu.