Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aminia sana mtu wangu jamaa ana vi-element vya usonko hivi so pambana kama vile unavyopambana kupata kazi ila baada ya kuipata wewe ni bata mwanzo mwisho..Ila usije tusahau sasa..kaka cheki ninavyokufagilia hapa ili hali huna kitu kabisa.. jambilo
Kumbe hata hiyo gari hapo kwa avatar siyo yake? Au hii post imekosewa?Yani hapa nishaipanda hiyo gari kabisa...nasubiri tu dreva jambilo aiondoshe tukajifiche zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom