eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Mapozi wakati mwingine yanakupotezea bahati siza00 yupo anakupenda mnoMwanamke mapozi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mapozi wakati mwingine yanakupotezea bahati siza00 yupo anakupenda mnoMwanamke mapozi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shida gn tnKwanza mimi nina shida kubwa sana naomba msaada.
Duui
Majanga mkuu.Shida gn tn
Umepakua hukoNishachungulia sweetheart...nimekuta pananukia mawaridi yako.
Ujumbe wa Leo..Nikiwa kitandani kwangu leo asubuhi nikawa natafakari na kujiuliza "ni nini siri ya mafanikio, nifanye nini nifanikiwe?" majibu ya kufanikiwa nikayapata mulemule room kwangu.
Feni ikaniambia niwe cool nisikurupuke, dali ikaniambia "fikiri juu zaidi", madirisha yakaniambia "tizama nje uone fursa zilizopo ulimwenguni", saa ya ukutani ikaniambia "kila sekunde ina thamani sana katika maisha, muda ni mali."
Kioo kikaniambia "Jitizame na ujiamini kabla hujafanya jambo". Kalenda ikaniambia, "mwaka wako wa mafanikio ndio huu." Mlango ukaniambia "Sukuma kwa nguvu kwa ajili ya malengo yako." Choo kikaniambia "flash tabia zako zote mbaya zinazokufanya uendelee kuwa chini." kitanda kikaniambia "Inuka bwana mkubwa umenilalia vya kutosha nimechoka"
Na nilipokiona kitabu cha dini kikacheka na kuniambia "Nisome mimi kwa ajili ya kuenenda njia zilizonyoka, ili mwovu shetani asikupate."
Nikaamka nikiwa na nguvu mpya pamoja na matumaini mapya!
Mwenyezi Mungu, abariki kazi halali za mikono yetu, sisi ni vichwa na wala si mikia.
Nawatakia siku njema!!

Una moyo sana, yani mpenzi kapotea na unaenda kupata lunch?? Haya enjoy
wee anko haya matusi sasa au unataka na mimi nioleweUncle katika mahari usisahau Chevrolet ya kwako maana unastahili kulingana na ulinzi madhubuti ulioufanya

tatizo lako wewe mkali sana inamaana utani hujui na wewePius manasse tunaomba upite tu, watu humu tuko kwenye good mood na happy vibes....tuache na ufacebook wetu katafute utwitter somwhr else.
😡😡😡 kama sio kapuku kula kona
Cc amaizing hebu pita hapa uone mahaba yalivyozidi, yani ukipoteza nafasi hii.... Nakuhahakikishia kumpata wa aina hii itachukua muda hivyo muelewe tu, hakusema yale kwa nia mbayaNashukuru sana mwanakamati na naomba umwite na mpenzi wangu sasa umueleweshe maana alishaanza kunihukumu na yeye kupitia ulichosema pale juu amaizing nakupenda sana mae..
Patience123 ni chombo toka juu mkuuKabisa ndugu yangu..
Na couple yako ni ya 3?? Padre wewe kibokoJimena tangu jana nimeunganisha 2 wachumba ndo hawana idadi

Hii ndiyo shida ya kukosa kunyonya maziwa ya mama.
Hahahahahaha sasa itabidi ule tu maana hakuna namnaNikifa njaa akirudi hatanikuta..![]()
![]()
![]()
![]()
Hujakosea mkuuduu umakapuku kweli nyie makapuku