Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,939
- 8,883
Kamati ya chini au kamati ya juu????Haya nimekubaliii....
Nitaishawishi kamati.....nlijua wewe sio kapuku
Kamati ya chini au kamati ya juu????Haya nimekubaliii....
Nitaishawishi kamati.....nlijua wewe sio kapuku
Mungu nae atamuweka pembeniUtumishi kwa mtoto mzuri kama Patience123 unawekwa pembeni...
Nishasema kitambo sana ntu wangu...hii madini siachii ng'ooo. Nakomaa nayo.mpaka pumzi ya mwisho.Patience123 we ni mtu wangu wa karibu na ninaona thahabu mbele yako ni wewe tu kusema neno na uimiliki..Ebu sema neno lolote ntu wangu..
Ubiya??Mkuu sitaki ubiya na mtu.
Hapana kwani anachokifanya kitakuwa ni chema mbele ya macho ya bwana ndiyo maana ametoa angalizo la Patience123 awe tayari katika kuifanya kazi ya bwana..Mungu nae atamuweka pembeni
Good afternoon Mr.Good afternoon peopleeeeee😕😕
To you too mkuu..Niko na kibarua pevu hapa karibu sana..Good afternoon peopleeeeee😕😕
Madini yapi hayoNishasema kitambo sana ntu wangu...hii madini siachii ng'ooo. Nakomaa nayo.mpaka pumzi ya mwisho.
Tafadhali naomba umtoe Nahrene hapo kwenye list kabla hatujazinguana.Watoto wazuri jimena, lizzbettie, cute b, nahrene sukari yenu nimefikaaaa
Aminia sana mtu wangu jamaa ana vi-element vya usonko hivi so pambana kama vile unavyopambana kupata kazi ila baada ya kuipata wewe ni bata mwanzo mwisho..Ila usije tusahau sasa..kaka cheki ninavyokufagilia hapa ili hali hunakitu kabisa.. jambiloNishasema kitambo sana ntu wangu...hii madini siachii ng'ooo. Nakomaa nayo.mpaka pumzi ya mwisho.
Kukutag ni lazima maana hatuna ugomvi na wewe, sikujui hunijui kwani nikuchukie. Relax bibi yetu na uwasamehe bure.Nyie makapuku mnani-tag wenyewe huku halafu makapuku wengine wanajidai kuuuliza, umefuata nini huku" kama vile hii si open forum.
Hahahahah tulia usimwaribie jamaa ndugu angu ..Madini yapi hayo
We mteteee tuHapana kwani anachokifanya kitakuwa ni chema mbele ya macho ya bwana ndiyo maana ametoa angalizo la Patience123 awe tayari katika kuifanya kazi ya bwana..