Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,424
kwani tupo wangapi baeBaby tena?wasikuone wenye mali.
kwani tupo wangapi baeBaby tena?wasikuone wenye mali.
Mkuu tena si kumpata tu ongezea kumpata kwa kishindo..Kwangu nilimwona manuu alimpata amaizing, sijajua kwa wengine.
Naona peterchoka atakuwa ameachana na Linamo sijui chanzo ni nini, nilimwona peterchoka anamuhitaji Nah
Ahahahahaaaaaa...mbona hakuagiza beseni..anyway acha nimuwazie kwa mazuri,lolWalitaka uende na mche kwanza then ndo waende mtoni kufua..
Shemeji tatizo unaleta fujo na upo kwenye uwanja wa nyumbani..Fujo hufanywa ukiwa away..Usimwambie shemeji tafadhali.
Kapukuzz mko pouwa? Habari zyenu bana!!! Muwe na weekend njema
Atakuwa anapita huyuUnaondoka au umerudi!!

Na iwe ivyoNi shemeji wangu wa ukweli yeye mwenyewe anajua kabisa na ni family friend wetu..
Nashukuru ila kuwa nao makini tu maana macho mendi sana yapo kwako...No mi natoa angalizo tu hakuna kitu kingine..Ahahahahaaaaaa...mbona hakuagiza beseni..anyway acha nimuwazie kwa mazuri,lol
siku hizi wachawi ni vijana wadogo sanaKwangu nilimwona manuu alimpata amaizing, sijajua kwa wengine.
Naona peterchoka atakuwa ameachana na Linamo sijui chanzo ni nini, nilimwona peterchoka anamuhitaji Nah
Kwenye mchujo bae...kaza buti huenda ukaibuka kidedea...namba yangu ya whatsup money si unayo?kwani tupo wangapi bae
Alaa,kumbe. Kwa hiyo jana hukufanikiwa bae?siku hizi wachawi ni vijana wadogo sana
nitumie hiyo namba huko pm mpenziKwenye mchujo bae...kaza buti huenda ukaibuka kidedea...namba yangu ya whatsup money si unayo?
OK Very interesting...wacha nifuatilie mpaka mwisho wa hii..Alaa,kumbe. Kwa hiyo jana hukufanikiwa bae?
Nini tena umepigwa chini?Dah,we acha tu.
achana naye huyo babeAlaa,kumbe. Kwa hiyo jana hukufanikiwa bae?
Lol..huna halafu unataka uingie kwenye kinyang'anyiro? Hilo tu ushafeli mchujo. Labda uendee kunishawishi.nitumie hiyo namba huko pm mpenzi
Hahahahah hizi dalili si nzuri..nitumie hiyo namba huko pm mpenzi