Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
ndio njoo fasta yule bibi yako kaonekana humu ndani
nasikia watu wameanza kukimbia.ndio njoo fasta yule bibi yako kaonekana humu ndani
nasikia watu wameanza kukimbia.Hana shida mbona sioni ukichachamaa sasa ni nini mbaya... Patience123 kwani kuna shida kuongozana kwenye huduma za kiroho?Anataka kuwa mama mtumishi lakini!
Hahahahahaaaaa... AnakuitaNaona bibi kikongwe,ngariba wa mangariba, bibie Faiza fox yuko ndani ya nyumba,watu wameanza kutoka nduki.
Kweli huyu bibikizee anatisha.
Mkuu Namwamini Yesu.Mkuu mwamini Yesu
Lakini c wajua faiza ni ngariba mstaafu!Mwambie huyo maana
Unajua tena stress, wife haonekani.Kwani ninyi ni mtu na nduguye??
Inaweza ikawa kweli maana jamaa haishi kutangatanga mara Linamo mara ampalamie shem lizziebettie ama shem Nahrene, na jana nimemuona anajaribu kuwa gia kwa mpenzi wangu aggyjay sidhani kama angelifanikiwa.Nasikia peterchoka ni kama dimpoz a.k.a joka la mdimu.
Jambilo si alisema yeye ni mtumishi wa bwana jamaniWow wow wow yaan unaitwa na mrembo unaitika kinyonge hivyo mkuu....Maliza hii mambo chap chap bana...
Patience123 we ni mtu wangu wa karibu na ninaona thahabu mbele yako ni wewe tu kusema neno na uimiliki..Ebu sema neno lolote ntu wangu..Jamani!!! Hii ni devine connection mwambie aseme neno nisikie mpendwa
HahahaAu utasikia *huko shule mmeenda kusomea ujinga*
😀😀😀 tuone kama ataonekana tenandio njoo fasta yule bibi yako kaonekana humu ndani
Itakuwa anatafuta namna ya kuficha aibu.Inaweza ikawa kweli maana jamaa haishi kutangatanga mara Linamo mara ampalamie shem lizziebettie ama shem Nahrene, na jana nimemuona anajaribu kuwa gia kwa mpenzi wangu aggyjay sidhani kama angelifanikiwa.
Soon tutaungana!Subiri nimpitie my sweetie Nahrene.
Anataka kukumbushia bila ganziLakini c wajua faiza ni ngariba mstaafu!
Na mimi si nakuwa mama mtumishi jamani. Mbona watu mko hivyo?"Mtumishi wa Bwana lakini mwanaumee"Jambilo si alisema yeye ni mtumishi wa bwana jamani
Utumishi kwa mtoto mzuri kama Patience123 unawekwa pembeni...Jambilo si alisema yeye ni mtumishi wa bwana jamani
Humu Raha hata ukishangaa inalaikiwa!
Mkuu sitaki ubiya na mtu.Soon tutaungana!