HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Kwani we mtumishi uliomba niniWakuu hapana acha Mungu mim, pia Mungu naye si lazima anipe k2 kizuri jamani!
Kwani we mtumishi uliomba niniWakuu hapana acha Mungu mim, pia Mungu naye si lazima anipe k2 kizuri jamani!
Aisee hii sasa balaa.Shemeji Nahrene hajaonekana mpaka sasa?
Hapana mkuu naye amekubali kuwa ma mtumishi thanx to u manuu
Mkuu Th Name nikuombe kwa heshima na tahadhima uje uongoze couple hii mpya katika daftari lako..Hakika hii inazidi kupendeza mno..Na tangu sasa mmekuwa mwili mmoja alichokiunganisha Manuu hakuna awezaye kukitenganishi isipokuwa Manuu mwenyewe..Welcome sweetheart mtumishi.
Wanaenda kubwagana tu huko.Hiyo itakuwa Bwagamoyo
Unashangaa tena badala ya kutoa maamuziAisee hii sasa balaa.
Pole sana shemeji ila endelea kuwa na moyo mkuu..Aisee hii sasa balaa.
Maamuzi gani tenaUnashangaa tena badala ya kutoa maamuzi
Mkuu hapo sasa ushindwe wewe tu.
Ukimkosa huyo usilielie tena.
Haiwezekani mkuu.Paste
Paste
Hahahahah sawa...Hahaha mimi cio zakayo mtoza ushuru,
Si nimejibu vzr tu mkuuAge = 20+
Sex = Male
Location= Arusha.
Next time kuwa serious mkuu..
Haya nipeni habari mpya sasa? Niliwamiss
Nasikia we ndio padre wetu sasa nataka kujua mpaka sasa umeshafanikisha ndoa ngapi?Mkuu taratibu basiii!
Watarudi kila mtu na njia yake.Wanaenda kubwagana tu huko.
Ameitikia kweli?Karibu Mtumishi..
Haswaaa.Twiga kala uchocho😱